habari za mida hii wakuu mimi ni msichana wa miaka 23 nipo mwanza nahitaji part time job au kazi za kujitolea katika kampuni yeyote mkoani mwanza inayodeal na mambo ya gis,remote sensing,environmental issues na climate change nipo vizuri pia kwenye hesabu na computer..yeyoe mwenye taarifa anaweza kuni pm..Asanteni