Lakin jamani chama imara ni kile kinachotoa maamuzi sasa namshauri Zitto akae pembeni awadhihilishie kamati kua sio msaliti kwa matendo kama anaipenda nchi yake na chama, nadhani huu utakua sio wakati wa kulumbana na chama,
Kama ambavyo anafanya lowasa ni ACTION zaidi kuliko kulalama hapo...
Inaonyesha CCM wanaingia chini kwa chini ndani ya Chadema ikiwa chadema hawatakua makini uchaguzi ujao hawatakuwa na nguvu kama tuliyotegemea na kupoteza viti vingi vya Wabunge na Madiwani. CHADEMA WATCH OUT ELECTION IS AROUND THE CORNER.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.