Hawa wengi uliowataja wamerudi bongo, mfano Kakapoa, Opra, Adnaboy. Baadhi ya wengine uliowataja wako kwenye social networks. Wengine ata sijui wameishia wapi. Mkizungumzia totoz mnanikumbusha watoto wa Milton Keynes na Reading hahaha!!! ukiingia usiku mnene BST basi unawakuta online wanasogeza...