Shida ya wanawake ni kuhesabu makosa ya wanaume! Unaweza kuta huyo mwanaume kafanya mambo mengi mazuri ila anahukumiwa kwa hayo makosa 2 tu, sasa umezeeka unaachana na ndoa ili ukawe mchepuko wa mtu? Halafu bado hatujajua upande wako ulikuwa unakosea wapi? Matatizo ya ndoa yanamalizwa na wana...
Walimu ndio walikuwa wasimamizi wa uchaguzi wengine walifia njiani wakikimbia maandamano na maboksi ya kupigia kura yalitelekezwa vituoni
Maaskari walibadili uniform ili wasitambuliwe na raia maana wangedhurika, kiufupi hakukua na uchaguzi bali tu uchafuzi wa uchaguzi
Binadaamu na sokwe wametokana na kitu kinaitwa common ancestor (.yaani tuuite ukoo mmoja au babu mmoja)
Na DNA ya sokwe na binadaamu zinafanana karibia kwa 98.7% jambo linaloashiria ukaribu wa ajabu mno kwamba hawa kama ungekuwa mti basi wamezaliwa na mti mmoja wao wakawa matawi, baada ya miaka...
Wanaume hatuhitaji mambo mengi kwa mwanamke: Heshima, kuwa mnyenyekevu na mtiifu, Amani, mambo mengine ni ya kawaida. Mfano usafi, kupika vizuti , kulea watoto inavyopaswa, ndugu , kuongeza thamani yako mwenyewe sio tu ubweteke na kipato cha mume, ibada
Hao waislamu walifungishaje ndoa ya kimchongo hivyo? Kwani huyo mwanamke anawezaje kujiozesha mwenyewe? Taratibu za dini ya kiislamu ziko makini kwenye ndoa , kama wazazi wa huyo mwanake hawakuhusika hapo ndoa haipo, na mwanamke hawezi kufunga ndoa juu ya ndoa ni lazima ndoa ya awali ivunjike kwanza
Jirani ni mtu muhimi sana na kwa bahati nzuri au mbaya jirani humchagui, jirani anajileta na hana mpango wa kuondoka Leo wala kesho kwa hiyo ni vema kuishi na jirani kwa akili sana kwenye matatizo ya ghafula kama misiba , magonjwa, majanga ya moto, wezi nk mtu wa kwanza kukufikia ni jirani yako...
Kenya hawana timu ni kamdomo tu! Mechi zote tano walikuwa wanafunga goli moja moja kwa kila mechi halafu urarajie kwenye hatua za mtoano utoboe? Kwa kifupi wamevuna walichopanda
Kwa mujibu wa hiyo barua na vifungu alivyovitaja muandishi ni kweli kabisa kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya nchi pamoja na katiba ya ccm , haki itendeke katika hili
vidonge aina ya CYNEX hutumika kitaalamu kutibu hali zinazohusiana na kutokwa kwa damu nyingi, kama vile hedhi nzito au bleeding kwenye matibabu mbalimbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.