Recent content by EPORA

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba Za kupanga Dsm

    Kwanini kibamba mkuu serio???
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba Za kupanga Dsm

    Wadau mimi nahitaji nyumba ya kupanga ila maeneo ya kijitonyama, makumbusho au mwenge. Nyumba iwe na sifa zifuatazo 1. Vyumba viwili vya kulala 2. Sebule 3. Jiko 4. Choo 5. Maji ya dawasco NB:BUDGET YANGU NI LAKI MBILI TU(200, 000/=)
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nyumba Za kupanga Dsm

  4. E

    JamiiForums Tanzania Nitapokelewa kweli chuoni?

    vyuo vya serikali havina shida,wakati mwingine hata kama huna ada ukijieleza wanakuelewa,bado hujachelewa na uzuri wakuu wa vyuo wanaelewa hualisia wa maisha ya watanzania,wewe nenda mkuu hata usiwe na wasiwasi,utapokelewa vizuri
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la jiko la gesi kupiga kelele naomba msaada

    asante mkuu,je halifai kutengenezeka?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la jiko la gesi kupiga kelele naomba msaada

    Habari za mchana wakuu. Please naomba msaada kwa anaejua maana imekuwa kero kwa kelele,Jiko ni aina ya WESTPOINT mafiga mawili lina miaka mitatu sasa. Tatizo lipo hapa yaani kila ukiliwasha linatoa mlio wa moto wa kifuu yaani pu pu pu najaribu kupunguza na kuongeza kidogo linaacha kwa muda na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    asante
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    mhhh!wanawake Tupo 16,wapo walioolewa pia,sijakutana nae chuoni
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    ha!ha!mkuu bana,nitazingatia kufanya kama wadau walivyoshauri
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    mkuu tyta unakumbukumbu aiseee,huyu ni wa elfu sitini,thanks anyway
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    simchukii hata kidogo na nimesamehe na sina kinyongo nae
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    thanks mkuu,hadi sasa sina mawasiliano nae
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    ha!ha!ktk mazingira niliyopo sitaki MTU mkuu,
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    hapana na wala hatupo karibu mkuu,ila baada ya wiki mbili tutamaliza research na kurudi chuo
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    mh! sijaelewa una maana gani?hao niliowataja mfano mkuu smile anadai x is a total destructor,hope anaweza Kunipa mbinu za kumwepuka
Back
Top Bottom