Watanzania tusijidanganye ajira pekee kwa watanzania ni kilimo na ufugaji. Nasemea hivyo maana kilimo kikiimarika Viwanda vitaanzishwa. Kuinua uchumi wa nchi yetu hatuitaji ti watu wenye eliminated kubwa sana Tunahitaji watu ambaowanaweza kutumia elimu kuzalisha Mali. Awe Magufuli au Lowassa...
Wana JFNimefatilia kwa muda mrefu kwa kujitambulisha Mimi ni CCM wa kweli. Nawaomba wa CCM pamoja na wa CDM wote tupo katika familia moja pamoja kwenye mitandao hatujuani vizuri ndiyo maana wengine wanaficha sura wengine wanaficha majina. Tutambue ya kwamba mwisho wa siku ni lazima tutakuwa na...
Akili za mtu mjinga anapoambiwa ukweli anamaka unataka ccm ilufanyie nini zaido ya wewe kufanya kazi kakujengea barabara akili hamna za kufikiri mwasiga amagezi sada mnatumia akili na bafo mpala akili zikae vizuri mmedekeza uvivu nani asiyejua nchi yenye nrema mnabaki kuhemea Uganda mnabaki...
Ndugu zangu wa Haya tabu ni moja kila mmoja kasoma maendeleo hakuna kwa bahati mimi mziba tutakaa na ujinga wetu si siku nyingi hata warundi na wanyarwanda tuliokuwa tunawadharau wametupita Chadema mnaokumbatia nenda kwao uone ujinga wa kihaya subiri kama warundi awatawazalia watoto ccm...
Sasa uchambuzi gani je kasema nini watu kuwa wengi si hoja hotuba yake haikuwa na mshiko wa kuonyesha jinsi ya kuinua uchumi hata ajira hakuonyesha uwezo nyie watanzania Jaribu kuangalia Nyatanyau alivyo kuwa anahutubia bunge la Seneta Marekani kabla ya uchaguzi sijawahi kusikia hotuba ya...
Ni kweli EL anajaribu kujiosha.ni mwana CCM amefaidi CCM lakini hajawahi kusema juu ya Kilimo Kwanza anaona aliyemrithi kafanikiwa kulisha taifa na ziada tunasaidia wengine.Kama kweli EL ataleta ajira atwambie katika rasilimali zilizopo hatuonyeshe mifugo yake sijawahi kuona hilo mtoto wa...
Jamani ebu tutumie akili zetu za kuzaliwa tuachane na za shuleni.namhushimu sana Lowasa sifa anazojipa hazifai serikalini uwezi kusema ulikuwa na maamuzi zaidi ya rais huo ni uongo huwezi sasa EL anatafuta huruma ya Watanzania wakati akikatwa waone kaonewa.utajiri na umaarufu kapewa na chama...
Lowassa kaonyesha anao uwezo mdogo wa kuchambua mambo Bado watu wake hawajajua jinsi ya kupanga mikakati utetezi wake haubebi maji hafai mikakati yake haifai huwezi kubeza kilimo ukapona.hataki kilimo maana mafisadi iwazake kuagiza chakula Kilimo kwanza taifa limepata heshima si ombaomba kama...
Mimi ni CCM damu nadhani M/kiti kwenye hotuba yake ya hekima amesema rais ajaye ni waina gani hivyo tusipoteze muda wa watu kutapatapa mbwembwe hazina maana na tusipoteze muda busara ikitumiwa vizuri hotuba ya JK ndiyo kipimo kama mtu hawezi kujipima basi URAIS hawezi.
QUOTE=Chachu...
Tatizo kubwa la Watanzania nikotofanya tafiti za uhakika tunapenda kuhukumu mtu kwa juu juu. Pia tunafanya mzaa kwa mambo ya msingi katika kujenga taifa letu. Mtu bila kuwa na hakika anambeza Mhe. Pinda ni watanzania hawa walikuwa wanabeza Rais wetu wa kwanza kwamba katuletea ujamaa sasa ni watu...
Kwanza napenda kuwapa heri ya Mwaka Mpya wana JF.
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nafuatilia mambo mengi yanayojitokeza katika jamii yetu ya Kitanzania hasa kwa wanasiasa wetu kwa ujumla.
Katika mfumo wowote hule kama umekubali kuwa mwanachama ni lazima kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa...
Wana Jamii Wenzangu pole na kazi za kujenga Taifa.
Nimeleta kwenu hoja yangu hapo juu kwa ajili ya kuongea na mdogo wangu Mh. Nasari mbunge wa Arumeru. Nimesukumwa na kauli yake ya ajabu akibeza juhudi za Waziri Mkuu Mh. Pinda kuhimiza ufugaji wa nyuki. Jambo linalonisikitisha ni kuona jinsi...
Kwa JF wote,
Fikiria vijana wetu wanamaliza shule au vyuo hawana kazi.Tafiti niliyo fanya kwa undani kuna kazi moja ukifanya una uhakika kufanikiwa bila wasiwasi.Fikiria kiwanda unachoanzisha hakiitaji mtaji mkubwa , malighafi bure , wafanyakzai bure, huna haja ya umeme. Kiwanda cha namna hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.