Recent content by epic

  1. E

    JamiiForums Tanzania Naomba wanasheria na waendesha mashtaka mnisaidie hili

    Naomba mawsiliano yako mkuu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msaada na ushauri kisheria

    Ni ushahidi gani unaokubarika mahakaman kwasabab nina kesi ya madai tulikubaliana mtuhumiwa anilipe pesa lakini pindi tunakubaliana yeye ana photocopy ya hati ya makubaliano na mm pia je copy hiyo itakubalika mahakaman kama ushahidi wa makubaliano yetu??
  3. E

    JamiiForums Tanzania Naomba wanasheria na waendesha mashtaka mnisaidie hili

    Ndugu wanasheria naomba kuuliza ni ushahidi wa aina gani unaokubarika mahakaman?? Mimi nina photocopy ya hati ya makubaliano ya deni na mtuhumiwa lakini hakimu anaonyesha kuto ukubali ushahidi huo anahitaji original copy
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Tangu Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli iingie madarakani imekazania kununua ndege kwa ajili ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL). Baadhi ya Watu wanahoji kwanini pesa hizo za kununulia ndege aina ya Bombardier Q400...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wanasheria naombeni ushauri wenu kuhusu kesi hii

    Ndugu wana jf nilipoteza pesa katika account yangu ya benk ambayo pesa hiyo ilihamishwa kwenda kwenye namba ya simu ya mtu nisiyemfaham nilifuatilia namba hiyo mtuhumiwa nilimkamata na kumpeleka Polis kabla ya kufika juu zaidi familia waliomba tuyamalize pale polis kabla ya kufika juu zaidi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu, ikifika Ijumaa mwenzenu NONDO hajapatikana gomeni

    Nahisi wewe unaohamasisha mgomo hata nondo mwenyewe humfaham umeona habar mitandaoni sisi tunaishi nae
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria anahitajika kwa ushauri

    Naomba namba yako
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria anahitajika kwa ushauri

    Nina kesi inahitaji kwenda mahakama ya mwanzo kwa mwanasheria nakuhitaji kwa baadhi ya maelekezo ya awali
  9. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mwanasheria

    Asante
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Format ya mtihani wa form 6 kwa PCB

    Ingia google andika Neno TETEA ''
  11. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mwanasheria

    Niliibiwa fedha account ya benk baada ya kufuatilia mtuhumiwa nilimkamata na kumpeleka Polisi ndugu wa mtuhumiwa waliomba tuyamalize pale polisi kabla ya kufika juu zaidi tulikubaliana tarehe ya kunilipa fedha zangu sh laki sita na nusu. Tarehe husika ilipofika walikuwa wamepata kiasi cha sh...
Back
Top Bottom