Recent content by Ephraim Musola

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wholesalers, Mawakara na Importers pia na distributers

    Ndguu kma ujumbe umeelewa ya nn ku criticize andiko langu? Kma hauna Cha kunisaidia is better u mind your own business.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wholesalers, Mawakara na Importers pia na distributers

    Habarii, naomba kwa yeyote anae ishi Dsm na anaijua kariakoo nje ndani Hasa kwa wauzaji wa jumla wa vipodozi hii kwa mawakala wa bidhaa au waagizaji wa bidhaa direct from viwandani au nje ya nchi. Pls hit my dm Kuna kazi ya kufanya mapipo ni mazuri
  3. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kupata maduka mengi ya rejareja ya vipodozi kwa ajili ya kuwauzi vipodozi kwa bei za jumla

    Bro please hit my dm Na Jambo la kuongea na wew
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Upo sawa but nakuambia coz ni option ambyo nimeishi nayo for while ndio maana nmekuambia don't hesitate sijakupa uhakika broh kikubwa hakuna option iliyo na 💯% ya kutokea but tunachofanya nikuangalia option/event zinazoweza kuwa na high probability of occurrence so ujue hakuna option to yeny...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii option nimeifanyia analysis zaidi ya week it's amazing don't hesitate to stake
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah kka wewe master
  7. E

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara zipo, vijana wa Dar es Salaam ni wazembe tu

    Sasa hapo si we ni kujiongeza tuuu Mkaa toa mkoani leta dar Asali chukua tabora Singida leta dar unaafunga hesabu
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

    Huwezi lipa frame in advance kka kwa bongo hii Cha msingii kma upo na business ambyo ndio inaianza na waotegemea in running ur life cha msingii tafta biashara ndgo ambyo waifanya kila siku inakuwa Kama part ya biashara means unaweza ukaianza hiyo mfno fungua genge la matunda au kijiwe chchote...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa

    Napokea order ya dagaa chafu na Uduvii kwa ajili ya chakula cha kuku nipo Mwanza(Mkuyunii) na Nina Office Kahama -Shinyanga Kwa anaehitajii kiasii chochote karbu pia tunatuma mzgo sehemu yyte ile ndani ya Tanzania Kwa mawasiliano, naptikana: 0744714226
  10. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa

    Naitwa Msola mwenyeji wa Mwanza nimekuwa mdau wa uuzajii wa biashara ya dagaa kwa mda. Hivyo kwa Sasa nimeanzisha biashara ya uuzaji wa dagaaa chafu na Uduvii specific kwa matumizi na malighafi ya kutengeneza chakula cha mifugo hivyo kwa anaehitajii karibunii sana sehemu yyte tunatuma Kwa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania kozi zipi zitakuwa hazina ushindan kwenye dirisha la pili??

    Duh Sua utakufa ualimu Sua bra ukauze maji k/kooo utajutia maisha ya kusoma
  12. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa

    Guys kwa yoyote aliepo Mwanza naomba unipe ramanii ya kupata dagaa wasio na mchanga nataka kilo 100 kila sikuu. Kwa mawasiliano ni chekii 0744714226
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana kwa bei nafuu

    duh bas ajab kama hko mnauza hyo bei
Back
Top Bottom