Recent content by Enzi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Software

    Wakubwa, naomba nielekezwe ninapoweza kupata software ya kutengenezea letterhead za kuweka juu ya barua za kibiashara.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Service Pack 3

    Wakubwa, za mida hii? Naomba stand-alone SP3 installer. XP yangu hairuhusiwi kuwasiliana na Microsoft kufanya online update moja kwa moja. Shukran.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Taifa stars imeondoka kuelekea morocco kwa ajili ya mchezo wao wa jumapili

    Heri na fanaka.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Subramaniam bado Work Permit

    Subramaniam aendelea na Kazi pamoja na kuwa na expired work Permit Naona mchezo mchafu unafanywa kuhusu suala la uhalali wa aliyekuwa Meneja Mkuu wa Fedha wa kampuni ya IPTL, Dk. Magesvaran Subramaniam, raia wa Malaysia. Ninanavyofahamu baada ya kumaliza mkataba wake wa ajira IPTL, na...
Back
Top Bottom