Recent content by EnockMtei

  1. E

    Msaada wa kuhack simu

    Kma uko tayar ni pm...ila kuna malipo [emoji48][emoji48]
  2. E

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Mungu 1.hukaa ndani ya mtu aliempokea yesu 2.hukaa sehem inayoitwa eternity yaani umilele,na yeye mwenyewe ni umelele hivyo jibu sahihi kwa swali lako ni "MUNGU ANAISHI/ANAKAA KATIKA YEYE" 3.Mungu yupo kila sehemu pia "omnipresent" Plzzz review ur studies and try to hv a settled mind.
  3. E

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Your so right,Ngoja niwaambie mungu anakaa wapi,kuna sehemu nyingi mungu anakaa 1.kwanza mungu hukaa ndani ya kila mtu aliyemwamini yesu kristo na amefanya roho yake kuwa umoja nae kupitia roho mtakatifu yaani roho wa mungu na roho ya mwamini ni kitu kimoja 2.kukaa kwa jinsi watu wengi...
  4. E

    CREATION was only for israelites not for all human races, EVOLUTION still holds its truth !

    Your one of those deluded personnels who tend to copy/follow atheism without knowing anything..your just too stupid to be true and know nothing of the basis of creation
  5. E

    Kwa msemo huu "no jesus no life" kipi kilianza..?

    Yesu alisema yeye ndiye njia kweli na uzima..so he himself in him is life
  6. E

    Hoja: Ushabiki wa mpira wa miguu una asili ya ushetani

    Inaonekana hujui u achokiandika na hata biblia yenyewe huijui kwani ume2piga kamba moja hatari sana kwenye paragraph/aya ya 4 kwamba 1863 ni karibu na baada ya kristo wakati yesu mwisho wake hazidi 40 Ad...please review yourself
  7. E

    Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

    Kwa sasa hivi simu inayoongoza ni s7...lkni near future lzma aje aongoze note 6 na simu ya sony itakayokuwepo..hizo ndio zinazofanya vizuri kwenye camera
  8. E

    Google play services

    Nilifanikiwa sema kwa njia nyingine kabisa..niliiroot alaf nikatafuta custom firmware nikabadilisha ikakubali
  9. E

    Google play services

    Uli2mia njia gan
  10. E

    Google play services

    Hi If any of you have ever purchased devices from china,you might have noticed them missing google play services and even when installed, it pops ups lots of errors that makes the handset to become laggy and finally crush This happened when i bought a samsung note 5 from china..i struggled alot...
Back
Top Bottom