Recent content by EnockM

  1. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    jamaa jinga hili yeye ni nani hata mtikisiko kama kuanzia katiba mtikisiko upo mkubwa tu
  2. E

    JamiiForums Tanzania St. John University kuna mgomo

    yaani izi elimu halafu sijui TCU hawaoni haya!!!!!!!
  3. E

    JamiiForums Tanzania St. John University kuna mgomo

    GP shiiider inatokea wapi tena. Usiwe rigid
  4. E

    JamiiForums Tanzania St. John University kuna mgomo

    kweli mgomo ulikuwepo ila umekwisha ni madai mbalimbali, CHUO KUWA NA WALIMU WASIO NA SIFE YAANI TA KUMILIKI SOMO, FEDHA ZA SERIKALI YA WANAFUNZI KULIWA, KUWEPO NA KOZI ZISIZO SAJILKIWA NACTE NA WIZARA YA AFYA, GRADE ZA UFAULU KUWA JUU PASIPO NA FACILITIES ZA KUTOSHA NA CHUO KUWA KM HAKINA MWENYEWE.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mie ni mgeni humu ila mahususi nahitaji mdada (mke)

    du hii sasa kali bila bila Zab 23 mbarikiwe wote
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania XGirlfriend wangu anamambo!!!!

    hapana
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania XGirlfriend wangu anamambo!!!!

    asante sana ndugu yangu kwa ushauri mzuri sana tena wenye mashiko, tangu nianze kuingia humu ndani wewe n i wa kipekee sana, Mungu akutie nguvu
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania XGirlfriend wangu anamambo!!!!

    katika hali ya kawaida mnapo kuwa wapenzi mambo mbalimbali hufanyika mnapo kuwa wapenzi na kupelekea kupeana zawadi mbalimbali. nilikuwa na mpenzi wangu ambaye ilikuwa yaelekea tuwe wachumba siku zote alijifahamisha kuwa yeye anafanya kazi ya afisa mikopo midogo midogo katika taasisi moja kubwa...
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waiting for perfect men(girls mtajuta)

    nimependa sana hii ujumbe nashukuru sana
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mie ni mgeni humu ila mahususi nahitaji mdada (mke)

    nenda kanywe viroba
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mie ni mgeni humu ila mahususi nahitaji mdada (mke)

    poa bwana
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mie ni mgeni humu ila mahususi nahitaji mdada (mke)

    asante sana
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mie ni mgeni humu ila mahususi nahitaji mdada (mke)

    wanayohubiri na kutenda ni tofauti, rafiki yangu msabato kwa mara ya kwanza ananipeleka polisi/mahakamani
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mie ni mgeni humu ila mahususi nahitaji mdada (mke)

    naona bila bila mpaka ivi sasa mmmmmmh
Back
Top Bottom