Recent content by ENOCK SEMAKO

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Nyangine vichomwe moto popote vilipo

    Mtoa hoja una chuki binafsi na nyambari,kwanza umeanza na elimu hujamaliza hoja unaanza benki sasa tuelewe nini, kama msomi na uliyeona tatizo ni vema kama ungetoa suluhisho. Kumbuka nchi yetu ilikuwa ikitegemea vitabu kutoka tanzania intitute of education (tie) siku hizi tie hatujui imefia wapi...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Tatu Udom hakuna boom

    Sikiliza ww kijana suala lenu linaendele kufanyiwa kazi si muda mrefu mtapata pesa zenu tunaombeni endeleeni kuvuta subira.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Ni bora amesema sasa tumefahamu kuwa taaluma yake ni ndogo sana na uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Huyu mtu bure kabisa kweli anaaibisha hata serikali yake, mbona yeye aliongea matusi bado hajafungiwa?asituchefue wanajamii tuungane kumpinga mtu huyu.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

    Sisi sio watoto wadogo kama vipi chakachueni yote hata ya miaka iliyopita.Kushindwa kuwajibika mnaleta longolongo hapa sasa mnabadili F=D, D=C, C=B,NA B=A ili kuziinua shule zenu zinazotia aibu.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

    si unajua tena Phd za HOTERINI
  7. E

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

    Sisi sio watoto wadogo kama vipi chakachueni yote hata ya miaka iliyopita.Kushindwa kuwajibika mnaleta longolongo hapa sasa mnabadili F=D, D=C, C=B,NA B=A ili kuziinua shule zenu zinazotia aibu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Tuwakatae wezi haawa kwa nguvu zote
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

    Kilaza ANAWEZA KUPATIKANA CHUO CHO2TE KA2, UJINGA UPO KICHWANI MWAKO NA SI CHUO UNACHOSOMA
  10. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yaendelea kuwahadaa walimu

    mwenzio toka nianze kazi 2007 bado nna TGTS C Sasa immeenda hadi C9
  11. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wamepoteza heshima yao kwa jamii. Wamekalia madai tu.

    Nikikuita mjinga ntakuwa nimekuonea ww ni mpumbavu kwa sababu hujui kuwa hao unaowaita wazazi ndio waliowazaa hao walimu? sasa unamfananisha mwl Nyerere bila kuchunguza nyakati. Kwanza ww ni nani ktk nchi hii hadi ujifanye mzarendo kwenye nchi iliyojaa wezi. Tumia kichwa kufikiri na si kiungo...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

    sasa wewe unataka chuo bora wkt hata matokeo bado
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wapiga Debe, Stendi ya BODA BODA Ndani ya UDSM Main Campus!!

    njoo UDOM kuna utulivu sana
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wapiga Debe, Stendi ya BODA BODA Ndani ya UDSM Main Campus!!

    njoo UDOM kuna utulivu sana
Back
Top Bottom