Recent content by Enock Mwaijande

  1. E

    Sisi wote ni watoto wa baba mmoja

    imeandikwa "heri mpatanishi....."lakin pia ni mhimu kuweka ukweli bayana wakati upatanishi,pia ni mhimu kudumisha amani kwa kudumisha uhuru wa kuabudu na kuheshimiana na kupendana maana upendo huleta ustahimilivu,huvumilia.lakini ukweli ni huu,ukristo na uislam ni dini mbili tofauti kabisa zenye...
  2. E

    IFM kufanya mdahalo wa Fao la Kujitoa

    katika suala kuwepo faoujitoa ni haki ya mwanachama,pawe na fursa na maamuzi yanayotegemea uamuz wa mwanachama mmwenyewe.iwapio halitawekwa sawa hili,waathilika wakubwa watakuwa waajiriwa kwenye sekta binafsi ambako ajira sio za uhakika.mfano kuna makampuni ktk biashara ya mazao kama...
  3. E

    Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

    morovian walitoka jamhur ya check ya leo ndo kuna kijij kinaitwa morovian hawa walikuw wafuas wa john huss wakanzisha jumuia ya kindugu ya watu wa morivian.
  4. E

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Nisingependa zito kabwe agombee urais kw sababu 1.zito haaminiki tena siku hiz,tofaut na yule wa buzwag 2. Hajiamin,anapenda kujipendekez(hasa kwa mafisad)ana pupa na madaraka. 3.analewa sifa mf.ubunge sio saiz yng.
  5. E

    OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

    watz hasa ndg waislam kuna mambo meng yamefichika nyuma ya pazia.OIC sio jumuia ya kiuchumi au yenye malengo ya kiuchumi,hii ni jumuia ya kidin yenye malengo na mikakat ya kiiman zaid.ktk malengo na maazimio yao hukuna masuala ya kiuchumi.hata nchi zilizojiunga na zenye waislam...
  6. E

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Dr.slaa anafaa zaid kuliko zitto,zitto mzalendo nyakt z skendo ya buzwagi sio huyu wa leo,amebadilika sana,amezidiwa na sifa,
  7. E

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Zitto ni chaguo la mungu yupi?
Back
Top Bottom