Wakati wanaimba ule wimbo walidhani wataisoma wapinzani sas hiv tunaisoma wote,kaka tulia tu watanzania waliofukuzwa kazi na wasio na kazi ni wengi mno
Niulize kidogo hiv vitambukisho hutoka baada ya mda gani manake hata mm nimejiandikisha toka mwaka Jana mwezi October lkn mpk leo cjaona wito wa kuitwa nikachukue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.