Askari polisi punguzeni kuomba omba

Askari polisi punguzeni kuomba omba

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,246
Reaction score
11,459
Kama umewahi kuishi na askari polisi jirani au umekuwa na ukaribu naye utaelewa hiki nachokisema

Kama una duka akija dukani kwako anataka bidhaa anayotaka apewe bure

Uko bar sasa ndio balaa wanaomba bia hao mpaka kero

Kwenye mabanda ya chipsi ukimuona tu askari unabadili njia maana ukimkuta kagiza chips kavu akikuona tu atataka umnunulie soda, au abadili chips isiwe kavu iwe yai

Jamani mnatuboa ebu ambianeni uko punguzeni kuomba omba mmekuwa kero kwetu raia maisha magumu kwa wote siyo nyie tu
 
Inamaana awapati mshahara.
 
Mh askari anakula chips?
Huyo atakuwa Wa dar. Ndo maana visa vya kuvamiwa zipo sana huko
 
Kama umewahi kuishi na askari polisi jirani au umekuwa na ukaribu naye utaelewa hiki nachokisema

Kama una duka akija dukani kwako anataka bidhaa anayotaka apewe bure

Uko bar sasa ndio balaa wanaomba bia hao mpaka kero

Kwenye mabanda ya chipsi ukimuona tu askari unabadili njia maana ukimkuta kagiza chips kavu akikuona tu atataka umnunulie soda, au abadili chips isiwe kavu iwe yai

Jamani mnatuboa ebu ambianeni uko punguzeni kuomba omba mmekuwa kero kwetu raia maisha magumu kwa wote siyo nyie tu
Mm huwa nafikiri labda wanapokuwa chuo kuna hili somo la kuomba manake mpk kero,yaani imekuwa kam ni utamaduni kwao kuomba omba
 
Kweli kbsa hawa jamaa miaka hyo mzee alikuw na kiduka walikafilisi chote baadae maza alikuwa na kgenge cha mbogamboga hawa wajinga wachache walikuw wakija wanatafuna naz hawalipi na matunda mengne yn kbabe ila mimi niliposoma uraia kdgo nkaanza kuwatolea uvivu wakaacha tabia yao chafu. Heri walimu wanakopa ila askar wamezd kuomba ingawa sio wote.
 
Sasa hao watu si wanalipwa???Kwanini wawe omba omba???Kwanini msikatae kuwapa??
 
Miye nadhani wakiwa CCP huwa wanambiwa askari polisi hatakiwa kununua kitu, ukiwa na shida omba tu
 
Wamezoea vya bure vya kwenye vyombo vya usafiri..now wanataka hadi vya kwenye mabanda ya chips
 
Mm binafsi nishawekea vikwazo vya uchumi long time

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom