Recent content by enoah

  1. E

    JamiiForums Tanzania Buriani: Watanzania Wengi Hawakumjua Rais Mkapa. Nami Nishuhudie

    Umemsahau Dr Balali
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

    Israel ni Taifa teule la Mungu kwenye Biblia tumeambiwa ukiwabariki utabarikiwa ukiwalaani utalaaniwa? Kwenye hili namuunga Mkono raisi wetu. Tumefaidika nini na wapalestina hadi Leo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mshituko: Wananchi Kigoma mjini wamtaka Prof. Joyce Ndalichako

    eddy, Acha kusema uongo tuulize tuliopo kigoma mama Ndalichako amejiwekeza jimbo la Kasulu Mjini na watu wote kigoma wanajua ndio mgombea wa jimbo hilo. Kuhusu KIGOMA mjini walimuomba akagombee huko sababu alisomea huko na kuishi huko katika makuzi yake. Kasulu alikuwa hana nyumba lakini kajenga...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hii ndo hali ya Baba wa Taifa wakati akienda kutibiwa London cha kushangaza anacheka huku Chenge akiomba kumsindikiza

    Muongo huyo sio chenge Bali ni John Chiligati aliwahi kuwa waziri
  5. E

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mahakama Kuu yakataa maombi ya Tundu Lissu ya kutengua maamuzi ya Spika. Jaji asema itasababisha mgogoro Kikatiba na Bunge

    Haki huinua Taifa Bali dhambi ni aibu kwa watu wote,uovu ukitamalaki Mungu husimama mwenyewe, kwa hapa tulipofika hakuna mwanadamu awezaye kuitafuta haki ya MTU huyu Bali tunamuomba Mungu asimame mwenyewe kumtetea juu ya wabaya wake wanaotafuta kumuangamiza kwa namna yeyote, Mfalme Daudi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jengo hili refu la ghorofa CCM wameshindwa kumaliza liwe kitega uchumi?

    Hilo jengo la ccm mkoa na uwanja wa Namfua wazee wetu Singida waliuziwa ng'ombe na mifugo kwa lazima ili majengo hayo yakamilike lakini wajanja wakazila hakuna aliechukuliwa hatua mpaka Leo. Mo wakati anataka ubunge aliahidi kulimalizia na kuweka nyasi za bandia kwenye uwanja wa namfua lakini...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Kangi Lugola; Ondoa siasa kuruhusu safari za usiku jiulize tena

    Nchi nyingi wanaruhusu kusafiri usiku hata Kenya, sasa utaogopa ajali mpaka lini mbona mchana zinatokea huo ni ufinyu wa mawazo faida za kusafiri usiku ni kwamba watu wengi wanapoteza muda barabarani badala ya kuwahi kufanya shughuli za maendeleo cha msingi madereva wawe wawili ili wapokezane...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli uko naive sana kufanya kazi na akina Kinana na Nape

    We ni mpumbavu mwenye chuki na ushauri wa kijinga
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mkakati kupunguza uagizaji wa mafuta ya kula waibuliwa

    Hao Tari jukumu lao kubwa ni kufanya utafiti na bado wakulima wanachangamoto kubwa ya Mbegu bora za Alizeti. Hata hiyo Mbegu ya record ni ya miaka mingi na uzalishaji wake sasa ni mdogo ukilinganishwa na Mbegu mpya zinazokuja kutoka nje ya nchi. Kwanini shughuli za uzalishaji wa Mbegu...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini kitatokea tukiamua kila mkoa ujitegemee kwa mapato yake?

    Kingine ambacho hamjui wengi Singida kuna madini mengi sana pengine yaweza kuwa kuliko Shinyanga, ule mwambao wa sekenke hadi misigiri ni dhahabu tupu kale kamji ka Misigiri kanaendeshwa na dhahabu. Singida hakuna wilaya wasio chimba dhahabu. Shelui na baadhi ya sehemu za ndago walikuwa wanalima...
  11. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kasulu kupasuka

    Huu ndio ugonjwa wenu hata mkisoma na kutembea? Kwanini huwa hamjiamini na kuhisi kudharauliwa? Hapo hakuna aliekudharau umejidharau mwenyewe.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa Serikali kuwa makini na huu udharura wa kupigwa risasi cha Tundu Lissu

    Ha ha ha naona umecopy na kupest Ujumbe alioandika mtu mwingine jana Facebook tanuru la fikra halafu unajidai ni wewe umeandika. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ana Hali mbaya Iramba

    Mnabishana wote wapita njia wenyeji acha tuseme, ni kweli Kitila kaandaliwa kwa hilo jimbo hata Mwigulu analijua ndio maana kawa mpole ni kiasi cha muda tu utasikia. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. E

    JamiiForums Tanzania Somo zuri kwa Tundu Lissu

    Ndugu yangu hujui maumivu aliopata TL kupigwa risasi na hujui waliopanga kumuua bado wana njama gani na yeye kumbuka hakuna hata mmoja aliekamatwa kuhojiwa wala kifunguliwa mashitaka. Kifo kinauma muache atoe hasira yake kuuleza ulimwengu nini kilimtokea na ili ikitokea kashambuliwa tena dunia...
Back
Top Bottom