Unaweza usile, usinywe n.k unavyoita eti unafunga, haya hata kuoga usioge.Dr Slaa ameomba apumzike kwa muda, hajatangaza kuacha chama, viongozi bado wapo na kumbuka yeye hakutangazwa mgombea wa chadema, na chama sio mtu mmoja. Kinachokuuma kinajulikana wazi impact ya Dr Slaa kupumzika na sio...