Recent content by Enkai

  1. Enkai

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Pole mkuu, lakini wewe unafikiri umeshindwa kufanikiwa kwenye biashara yako kwa sababu unafanyia mwanza? vipi kuhusu maelfu ya biashara zilizofanikiwa hapo mwanza tena nyingi za watu kutoka mikoa ya kaskazini, jitathimini vizuri kabla hujahama kuja arusha pengine kuna ulichokosea kwenye biashara...
  2. Enkai

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Aibu gani mkuu? kwani 21b vs 17b ipi kubwa? na arusha kufikisha hiyo 17b probably ni makusanyo ya kipindi cha high season ya utalii no wonder kipindi cha low season makusanyo ni less than that
  3. Enkai

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Ni kweli Arusha city(17,978,653,000) imeoneka kuwa na pato kubwa kuliko Mwanza city(13,785,496,776) kwenye ripoti uliyoambatanisha, lakini Mwanza ina manispaa ya Ilemela pia(8,051,895,514) ambayo inajitegemea kimapato hata kwenye hiyo ripoti yako. Hivyo basi ukijumulisha pato la Mwanza Jiji na...
  4. Enkai

    Saikolojia: Jifunze mambo yatakayokusaidia kuwa na maisha yenye furaha (Case study Finland)

    Najua ulkua unategemea mtu mwingine akupe furaha. hahaha
  5. Enkai

    LEONARDO DA VINCI: Miongoni mwa wanadamu wachache unaopaswa kuwafahamu

    Hizi gunduzi zina faida gani sasa hivi?
  6. Enkai

    Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

    hakuna pahala nimesema niko swa
  7. Enkai

    Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

    Mbn hata africa atheism inakua sn chief hasa Kenya
  8. Enkai

    Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

    Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake. Mungu kaona dogo atamdhalilisha[emoji1]
  9. Enkai

    Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

    Kutojua majibu ya maswali yako haimanishi kuwa mungu ndio kafanya, huo ni uvivu wa kupindukia bora hawking alietumia muda na kuja na nadharia zake kuliko wewe unaekimbilia jibu jepesi.
  10. Enkai

    Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

    Am an atheist but i see points on your comment. That thing might be there but it does not need to be worshiped. And dont personnallize it kwa kusema YUPO.
  11. Enkai

    Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

    Hawa ni wale waliokua wanasinzia kwenye kipindi cha biolojia
  12. Enkai

    Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

    Kuna Tabibu daraja la II (Clinical Officer) anataka kuhama kutoka wilaya ya Rungwe (Mbeya) kwenda Mwanza,Geita au Mara kwenye wilaya yoyote. nifate PM nikuunganishe.
  13. Enkai

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Ona sasa mnavotukanana, poor you!
  14. Enkai

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Hampishani yaani ni walewale kasoro mikia
Back
Top Bottom