Ni ukweli usiopingika kwamba gharama za maisha zimepanda, na hivyo kuongeza gharama kwenye operesheni. Hapa tatizo ni hiyo gharama kutokuwa rafiki. Hebu fikiria kutoka 1000/1GB mpaka 3000/1GB ?
Sio mbali sana. Ni miaka mitatu kurudi nyuma bei za vifurushi vya intaneti ilikuwa ya kawaida sana. Kwa 1000 mtu angeweza kupata kifurushi cha GB1 kwa wiki. Leo hii, GB1 ni 3000.
Hebu fikiria kwa sasa, ni watu wangapi wameathirika na mabadiliko hayo? Mimi kipindi hicho, kulingana na bei kuwa...
Habarini wana JF
Ebwana Mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP WORLD unaendelea kubamba kila siku kwenye vyombo vya habari, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Mkataba huu umetengeneza makundi mawili: wanaokubaliana nao kwa madai kuwa unafaida kedekede na wale wanaoupinga...
Kipaji ni mtaji pekee ambao kila binadamu huzawadiwa na asili. Kila mtu anauwezo wa kipekee kufanya jambo au kitu Fulani. Na, ili uwezo huo (kipaji/kipawa) uweze kukua na kuendelezwa na kuleta matokeo chanya kwa mhusika na jamii, mazingira yana mchango mkubwa.
Kama ilivyo kwa punje ya muhindi...
Kuzaliwa mjini, sehemu ambayo imetawaliwa na usasa inaweza kuonekana ni bahati kwa wengi. Hii ni kwa sababu ya urahisi wa kupata vitu vingi ikiwemo huduma, taarifa na kadhalika. Lakini kwangu mimi sizioni faida hizo. Kwangu kuwa mjini ni kitu kinachoitesa sana akili yangu. Sio bahati. Kabisa...
Kama ilivyo kawaida kwa vyuo vingi vya elimu ya juu kutoa ufadhili kwa wahitimu wa ngazi mbalimbali za elimu, chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kina utaratibu wa kutoa ufadhili kwa wanafunzi wa ngazi ya shahada za awali na shahada za uzamili.
Katika mwaka wa masomo 2022/2023, dirisha la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.