Recent content by EngutanK

  1. E

    Joseph Mbilinyi (SUGU) atangaza kurejea Bungeni 2025

    Kwani inahitaji elimu ya chuo kikuu kujua kwamba Sugu alinyang'anywa jimbo
  2. E

    TANZIA: Balozi Paul Rupia Afariki Dunia

    John Lupia yule aliyesimamisha msafara wa Rais Nyerere mwaka 1962 ni baba mzazi wa Poul LuPIA HUYU aliyewahi kuwa katibu mkuu kiongozi Awamu ya pili chini ya rais Mwinyi
  3. E

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Matako yako..nenda zako kaharishe
  4. E

    Mechi ya leo waliyoikaba Yanga ni Refa na Fei Toto

    Refa kaikaba Yanga kwa kukataa lile bao halali la Ruvu shooting kwani kona au winga akikimbia na kumaliza uwanja na kutoa cross kwa vyovyote vile bao lile ni halali, vile vile ni kwenye kona, ikipigwa kona haiwezi kuwa offside mbona mpigaji yoko kwenye kibendela ? Refa iliikaba Yanga kwa sababu...
  5. E

    Navyomkumbuka Edward Moringe Sokoine-alijiuuzulu Uwaziri Mkuu ili kwenda kusomea degree ya masters Yugoslavia

    Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini Yugolavia ya wakati ule. Wanzetu hawa utaona leo ni waziri na kesho amedoctorate sasa huwa utafiti...
  6. E

    Miaka 50 baada ya kifo cha Karume, ni nani haswa alimuua Karume?

    Mambo ya visasi, visasi huwa haviishi, hata Makonda alivyompiga vibao mzee Warioba watoto wa Warioba watakuja kulipa kisasi tu
  7. E

    FIFA yachagua waamuzi 8 kutoka afrika kuchezesha world cup Qatar

    Sababu za waamuzi wa Tanzania kutopewa nafasi hii ya kuchezesha fainali za WORLD CUP ndo sababu hizoz hizo zilimfanya Leodgar Tenga kukosa uwakilishi wa FIFA kanda ya Africa licha ya kupigiwa sana debe na Head of State wa wakati huo Mheshimiwa JK na alimsindikiza hadi mjengoni huko ZURICH nafasi...
  8. E

    Ismail Aden Rage, Yanga inaendelea kuzitafuna mechi zako

    Leo katika historia Rais Nyerere kawafukuza kazi maafisa tisa wa Mamlaka ya Uatawishaji makao makuu(CDA) kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo wizi na ubadhirifu wa mali za mamlaka hiyo, akitangaza taarifa hii kwa niaba ya rais ambaye yuko ziarani nchini China Katibu mkuu kiongozi Bwna Timoth Apiyo...
  9. E

    Dkt. Abdallah Possi alijiuzulu Ubunge mara baada ya kuteuliwa kuwa Balozi. Polepole atajiuzulu?

    Nchi wakati wa JPM ilikuwa inaendeshwa kihunihuni tu pamoja na huyo Ndugai wake utenguliwaji wa posi ilikuwa hivi: Kwa mjibu wa katiba rais ana uwezo wa kuteuwa wabunge wa kuteuliwa 10 tu, kwa bahati mbaya au bila kujua Rais alifanya uteuzi wa mbunge mwingine ikawa wabunge wa kuteuliwa wakawa...
  10. E

    Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Ile kwenda Malwi ni lazima achanje chanjo ya Covid 99 au achanjiye huku au kulekule vinginevyo Malawi haiingii. akikataa basi aache kazi arudi kwenye uchungaji
  11. E

    Singida Mashariki, Kazi anazofanya Miraji Mtaturu, Lissu tafuta jimbo lingine

    Matako yako mleta mada na Mtatulu wako, Mtatulu alipewa ubunge n Magufuli Tundu Lissu alichakuliwa na wapiga kura wa jimboSingida mashariki
  12. E

    Namtafuta Bovey Masiole, mtoto wa mlinzi wa Hayati Mkapa

    Bodyguard wa Mkapa yupi? Agostino Simule Gailanga au Julius Mshama?
  13. E

    Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    Chota Chama ameiuwa Simba, simba wanafuata jina, imewagharimu, Chama kiwango chake kiko chini sana ilifaa kwanza apiganie namba, mbio za ubingwa sasa bye bye kwa mnyama.
  14. E

    Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Alishabikia kumwondoa CAG kinyume na taratibu na yeye ameondoka kwa utaratibu huo huo. Ukivunja katiba,katiba hiyo hiyo itazunguka ikuvunje wewe. Katiba ni sheria mama.
  15. E

    Samia Suluhu anajipatia madaraka miaka mitano ijayo bila ridhaa ya wananchi, watanzania tupaze sauti zetu

    Mheshimiwa SSH ni Rais halali alichaguliwa na wanachi, katika uchaguzi mkuu uliopita jina lake lilikuwepo kwenye karatasi ya kura akiwa ni mgombea pamoja na JPM. ALICHAGULIWA NA KUTANGAZWA
Back
Top Bottom