Recent content by engjozee

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ubuyu wa Zanzibar

    Mdogomdogo
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kuchepuka kwa wanandoa;

    UKWELI ni kwamba watu huchepuka pale miili yao na akili zao zinapowasha tamaa za ile kitu kwa kumtathmini mwanamke mwingine tofauti na mke/mume wake kuwa anaweza kumpa raha anayoiassume. Tathmini hiyo huielekeza sana kwenye muonekano wa nje (mvuto) wa aliyemtamani.Wasiochepuka wamezipa nidhamu...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ubuyu wa Zanzibar

    Thanks for reply, je ubuyu au hilo shira lina chemshwa? Na je inawezekana kuweka maziwa?. Please usinchoke nataka kufanya practically na ntakupa mrejesho.
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumsakama ndumbaro kuna tija yoyote??

    Ndumbaro huyuhuyu alifungiwa na TFF kujishughulisha na mpira kisa aliongea ukweli juu ya unyonyaji kwa vilabu. Walipomsikia wakamtia pin kama yule mwenyekiti wa wafanyabiashara. Kama haitoshi naskia anataka kudhulumiwa pesa zake alizotoa kudhamini mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA ilofanyika...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ubuyu wa Zanzibar

    Mrs Kharusy unaweza toa ratios za hivyo vitu?
Back
Top Bottom