Recent content by Engineer willy

  1. E

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Vuteni subira kuanzia tarehe moja watatoa. Najua majibu hayatakuwa mazuri kwawengne naomba mvumilie coz maisha co uhamiaji tu maisha kokote. Na nawapa hongera wale Wataoitwa.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya RESUME na CV

    kwa tz not differ
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya RESUME na CV

    ni lugha tu isikuchanganye.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mail ya Tanzania Postal Bank vipi?

    unatumia mail gani? Gmail,yahoo au
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Recruiting Agencies

    agencies zinafaida na hasara yake. Faida yake zinapunguza undugunization kwenye kupata ajira. Hasara yake ukionganishia kazi popote lazima wakukate mshahara wa kila mwenz tena unajikuta unapokea mshahara ndogo sana na unakuwa kama mtumwa wao. Mfano wanaofanya voda kupitia erolink ni majonz tu...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mail ya Tanzania Postal Bank vipi?

    Punguza file then resend
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Tanzania Postal Bank (TPB)

    Kama vip tukapange folen na application zetu main branch. Email inazingua. Au wadau mnasemaje?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini PCCB

    Uckate tamaa michepuko ipo cku. Mim mwenyew wamenichinjia bahari bt cjakata tamaa, najua one day tena ntakuwa afisa usalama.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye diploma ya biomedical equipment engeenering anaweza kupata kazi?

    Uyo akimaliza tu akaombe kazi shellys industry, anapata fasta.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Good Looking vs Normal Looking

    Physical impression au appeareance ya mtu sometmez nikigezo kikubwa kwanza inakutambulisha wewe jinsi ulivyo na hata tabia yako, uwez ukavaa katakei au kimin au sio nadhifu kwenye intervew alafu wakakuchukua kwan watakugrade wewe ni muhuni na hujitabui au huna nidhamu hata kazin utakuwa huna...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili nikimaliza masomo nipate ajira?

    Nakushauri ukajitolee kaz angalau mwaka mmoja hasa za professional yako maana kazi za cku hiz experience ina matter zaid. Utaweza ku compete na weng, atleast gpa yako ianzia upper second kama ni degree. Mengine MUNGU anatenda
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kwa hili UDOM nimewapongeza!

    jenga hoja..
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kwa hili UDOM nimewapongeza!

    ur correct..!
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwa hili UDOM nimewapongeza!

    sio kosa lako tatizo ulisoma vyuo vya kata. Na HKL
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kwa hili UDOM nimewapongeza!

    Duh! Kwa hili Nawapa pole udom.
Back
Top Bottom