Recent content by Engineer Mujuni Edson

  1. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Huu Uzi nmekupenda aiseee
  2. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Hii ni kweli japo wanawake wazuri wengi ujisikia mno, uona wao hawawezi kukosa mwanaume na wengi uwa wapo kimaslai Kwa kigezo Cha uzuri, wachache mno wenye uelewa wa upendo wa dhati na kutulia
  3. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Nzuri sana[emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Ushauri mzuri mno
  5. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mpenzi wangu sio mwaminifu ila kila nikimwambia tuachane analia

    Una umri Gani?? Na huyo mpenzi wako ana umri Gani?? Maana mpaka hapo inaonesha wote Bado watoto katika maisha ya mapenzi,
  6. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki kunielewa na yupo tayari kuachana na Mimi kisa mtumishi mwenzie

    Hapo kaka hamna jipya, tafuta wako hakuna mwanamke wakujielewa wa kufanya maamuzi ya kuishi na mwanaume alafu anadai sio mpnz wake
  7. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananilazimisha nizame chumvini

    Zama tu maana usipo zama atampata wa kuzama itakula kwako
  8. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawana hela wanajenga, kuna watu tuna hela ila hatujengi

    Hongera sana hapa hatua nzuri,,,mimi nilifikia hapo nahitaji mwaka huu niendeleze
  9. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Mnaokuwa na mpenzi zaidi ya mmoja mnawezaje?

    Mimi naona hii kitu sio hob Yako unalazimisha, achana nayo kuwa na mtu Mmoja kama nafsi Yako inavyokubaliana nawe ukilazimisha utaumiaMkuu
  10. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yana mambo mengi sana, miongoni mwake ni kama haya

    [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
  11. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Naishi nikisubiri kifo, nimechoka sana

    Ushauri mzuri mkuu
  12. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Naishi nikisubiri kifo, nimechoka sana

    Pole sana usikate tamaa maisha ni magumu pande zote kikubwa ni kuvuta subira na kumuomba Mungu utafanikiwa, Pole sana
  13. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Kampuni binafsi ya uuzaji wa viwanja ina haki ya kuongea na kamishina wa ardhi ili wakufutie hati ya kiwanja?

    Wengi wapo vizuri ila mapungufu ya usumbufu ni baadhi ya kampuni akikisha unapata mikataba ambayo imesainiwa na mwanasheria
  14. Engineer Mujuni Edson

    JamiiForums Tanzania Kampuni binafsi ya uuzaji wa viwanja ina haki ya kuongea na kamishina wa ardhi ili wakufutie hati ya kiwanja?

    Asante sana Kwa ushauri ndugu! Na polisi tulienda wakashauriwa ivyo, ila Bado tu wananisumbua, nasubiria kuona barua Yao ambayo wanataka kunitumia, Ili nipate kupata ushauri zaidi kujuwa Nihatua ipi niichukue, Asante sana.
Back
Top Bottom