Recent content by enginear tz

  1. E

    JamiiForums Tanzania Utalii TZ- Actor Will Smith yupo Tanzania kutalii kutokea USA

    watu wa type hii ndo wanaifanya tanzania haiendelei bora tukupeleke somalia ukafe na vita jiamini wewe tz ndio edeni watu watakuja hatakama tusipokuwa na kiherehere kama chako
  2. E

    JamiiForums Tanzania Utalii TZ- Actor Will Smith yupo Tanzania kutalii kutokea USA

    Acha ushamba dogo utakuwa mtumwa mpka lini ?kwani watanzania wanatangazwa wapi wakipiga tuor tumtangaze ili iweje tunatangaza vivutio vya utalii yeye ni mtu wakawaida tu kama wewe haina haja kumtangaza kama dunia inamjua yeye ndo anawajibu wakutangaza kilichomvutia tz
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mnada: Njia mpya ya Utapeli, tujiepushe!

    haya mambo mbona yapo kitambo sana si mapya pole kwa kuchelewa ndo umekaribishwa dar
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nape, usipolichukulia MwanaHALISI hatua utakuwa una chuki binafsi

    sasa unampeleka mwanao iliiweje??
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nape, usipolichukulia MwanaHALISI hatua utakuwa una chuki binafsi

    hivi kwanini unajifanya zuzu wakati unaaakili timamu?? kuna tuhuma gani hapo ya kuchukuliwa hatua mwanahalisi wamefanya utafiti wao ndio maana wameamua ku publish hivyo mtuhumiwa alitakiwa kuja na uthibitisho wakuwa prove wrong Then awashitaki ..story zako za vijiweni usiletu humu kama hujui...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    nilichongundua ni kwamba unauwezo mkubwa kuelezea jambo but unauwezo mdogo wa kutafsiri mambo au umegewa mpunga iliumsafishe nikikuuliza maswali katika porojo zako hizo hautajibu ngoja nikuulize swali dogo tuu linalojibika kirahisi ku proove uwezo wako[emoji115] Katika list ya makonda ya...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

    hata kwenye bible na koroan tunasoma watumishi walikuwa na maadui na na waliomba Mungu kuwafanikisha kuwashinda hata kuwaua..
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wale wanaofanya ngono ya kinyume na maumbile maarufu kama Tigo

    kwa wanawake kipindi cha uzazi huwashida,kucontrol haja kwa wanaume matatizo uchafu ktka mfumo wa mkojo,pyschological problem
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ester Matiko: Serikali ichunguze kama Bangi haina madhara waruhusu kuwa zao la biashara

    1st understand the definition of drugs every drugs has -ve effect bt kuna drugs zinatumika kwa tiba pain kila ,operation ..kuna drugs zinatumika kuchangamsha mwili cafein in energy drinks coffee cocain in coke even alchohol is drug some of them ni drugs tunazitumia kilasiku hatujui kama ni...
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wale wanaofanya ngono ya kinyume na maumbile maarufu kama Tigo

    pia madhara ya kiafya pia ni mengi kwa wanaume na wanawake
Back
Top Bottom