Recent content by Engaju

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwili wa Mwanaharakati Caroline Mwatha aliyepotea umekutwa Mochwari

    Duh! Sielewi elewi!
  2. E

    JamiiForums Tanzania M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

    Ccm watuachie jimbo letu, 2015 mambo ya kuhongwa viela mbuzi na Kagasheki baadae anadhalilisha watu kwa kuwatupia shahada zao hadharani vijana wamechoka.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Funga mdomo wako wewe, huna hata aibu? Ukikosa la kuandika kale viroba ulale!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Funga mdomo wako wewe, huna hata aibu? Ukikosa la kuandika kale viroba ulale!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Mkuu, spelling errors ni kitu cha kawaida ukizingatia kasema yupo mahakamani na anatupa updates on time, sema kilichokuuma wewe ni kuona tunapata kitu live toka mahakamani gamba wewe. Tulia mnyolewe tartiiiiibu!
  6. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamwaga nyaraka za 'siri' Hesabu za Ruzuku; Msajili na CAG wawajibike

    Mkuu Tumaini wanakuumiza kichwa bure, ukweli wanauona kila kitu kiko wazi ila ni akili zao tu ndogo wana argue tu ili waonekane wamechangia kitu, mbona sijamuona Nape hapa? Atachangia nini kama sio pumba?!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Zitto: Vyama vya siasa kunishambulia sio jibu la matakwa ya kisheria ya kutaka vikaguliwe

    Hivi Uhuru nalo ni gazeti?
  8. E

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ziara za Dr.Slaa,Hillary Clinton,Mwl.Nyerere Vs safari 357 za JK nje ya Nchi

    MaCCM mkikosa hoja mnatokwa na mapovu tu, kama huna kazi ya kufanya kalale mzandiki mkubwa wewe.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Lema: Kama kuna mtu anatakiwa kuombewa ni Lissu

    Hujakosea mkuu, huko sure 100 percent!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

    Kweli nimeamini Tundu Lissu amewashika pasiposhikika, yaani maCCM wote ndimi nje! Si mseme unafiki na uzandiki wake unatokea wapi?
  11. E

    JamiiForums Tanzania "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Mkuu mabomu na risasi za moto hazitatumaliza wote, hata nikifa mimi na wenzangu wapo makamanda wanakuja kila siku. Time will tell!
  12. E

    JamiiForums Tanzania "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Hapa ni katiba tu mengine baadae! Uchaguzi haukuhusu.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mbowe akatisha ziara yake nchini Denmark kutokana na kifo cha dada yake

    Ni bora kumhurumia huyo jamaa inawezekana hatanii, ila hajui kitu na akili zake ziko hivyo, kuna mambo hayahitaji ushabiki wa aina yoyote.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

    Kwani hapo awali Mulongo alikuwa anafanya kazi gani kwa wanaomfahamu vizuri? Nina mashaka naye.
  15. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasambaratishwa: Mjumbe wa NEC Taifa na Uongozi wa wilaya wahamia CCM, ofisi yafungwa

    Ni rahisi sana kuandika hapa lakini siku ikifika sitakuona. Mawazo yenu ni finyu mno mnajua mtatawala milele? Kuna dola zilikuwa na nguvu leo ziko wapi?
Back
Top Bottom