Recent content by Eng Muchunguzi

  1. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji

    Unit 1 kwa Shs 2,500 maana yake ndoo moja ya Lita 20 ni sawa na Shs 50, fedha hizi zinatumika kulipia umeme, kununua madawa ya kutibu maji, kulipia mishahara ya watumishi, kufanya matengenezo ya miundombinu ya maji pale inapoharibika, kufanya upanuzi wa miundombinu ya maji kwa wateja wapya. Je...
  2. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    KINGEREZA NI SHIDA KWELI KWELI
  3. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro: Wema Sepetu, Nyandu Tozzy na TID bado wanashikiliwa na Jeshi la Polisi

    Kwani jinsia ya kike au kiume? Umezitaja hizo jela sasa unauliza nini mkuu?
  4. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Yabainika: Mjane wa Tanga aliyemlilia Rais Magufuli si tapeli. Nyaraka nyeti zaibuliwa

    HUwa ni balaa kama muhusika hajaacha wosia. Lakini kama ameacha shida inakuwa kidogo sana. Kwa maelezo ya yule mwanamke ilionekana wosia uliachwa na marehemu sasa tatizo linakuwa wapi?
  5. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Wabunge walalamikia adhabu ya kijana aliyemtukana rais kuwa ni ndogo, Waziri wa Sheria azungumza

    Mhhhh haya bwana, ina maana unataka kutuambia kuwa kukumu ikitolewa mahakamani, usiporidhika unaijadiri tena bungeni?
  6. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

    Sijakataa kuwa hakuna madish washer, ila nakuuuliza ulisomea wapi ambapo hawaoshi vyombo kwa mkono?
  7. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson ni kiongozi mbovu, mbaya na anayedhihaki wanataaluma

    Duh kupenda kubaya!!!!!!!!!! Mimi napita tu
  8. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Sasa wewe unayebisha tupe ukweli wako
  9. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Zaidi ya tani 70 za sukari zagawiwa kwa wananchi

    Hyu naye ni fisadi achunguzwe sawa sawa, haiwezekani auze kwa hiyo bei kama amenunua kwa shs 1900
  10. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

    Mkuu hebu niambie umesomea wapi ambapo hawaoshi vyombo?
  11. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

    Mkuu huyu hawezi kuwa ulaya, atakuwa katokea Mbagala
  12. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Wahariri wamemtendea haki Lema,wapinzani na watanzania kwa ujumla

    Jifanye mwanaharakati uende mahakamani ili ulipwe mkuu.
  13. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Wahariri wamemtendea haki Lema,wapinzani na watanzania kwa ujumla

    Kabla ya kupost jaribu kujiongeza kidogo mkuu. Inazungumziwa hotuba wewe unaleta mambo ya mtu binafsi.
  14. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Madiwani Ilala wampinga Mkurugenzi juu ya machinga

    Hao wamachinga wamekuwepo hata kabla haujazaliwa, sasa leo ndo umewaona kero? Acha kukurupuka, CCM waliwaweka wenyewe sasa ndo imekuwa nongwa wakati wa UKAWA? Acha utaratibu ufuatwe wakati wa kuwatoa kuliko kutumia nguvu
  15. Eng Muchunguzi

    JamiiForums Tanzania Madiwani Ilala wampinga Mkurugenzi juu ya machinga

    Sheria ipi mkurugenzi aliyofuata hapo mkuu? Nafikiri uelewi ulichoaandika
Back
Top Bottom