Wadau,
mimi ni mdada wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana. Mweupe, mnene wa wastani, mrefu, sinywi pombe na sivuti sigara. Naishi maisha ya wastani. Mimi ni mkristo
Natafuta mwanaume wa kuwa naye ktk maisha awe na umri wa kuanzia miaka 26-40, awe anajitegemea kiuchumi(awe anajituma...