Aka kajamaaa bana cjui akili ndogo, cjui ni kik kanatafuta nlikuwa kanamponda eric omondi kwamba hajui kitu nikashangaa sana mtu a nafanya word tour hajui ila yy show tatu za dar peke ake tena ukumbi wanajaa washkaji zake tu uwoya, makonda, api nk, ndo utawaona leo kina mponda eric, nonsence...