Mkuu kama ajakuelewa hatoelewa mileleKwanini ununue account ya mtu? Unajua followers wake ni wa aina gani? Una jua walim follow kwa sababu gani? Hao followers wake wataendana na biashara unayotaka kufanya????
90% ya accounts za Instagram (unlike ma staa) followers wao sio real.. MTU anapata followers baada ya kupost ngono na wanawake walio uchi.. So followers wengi anaowapata wanakuwa wanawaza ngono, ni under age, au hawana purchasing power yoyote ni tegemezi... Unakuta mtu ana followers 100k wote wahindi from India and middle east....how will that help your business in dar es salaam grow????
Its better to start from scratch... And i can help you at a small fee.. That way, you can be sure you are advertising your business to the right people
Advertsazza@gmail.com