Recent content by Eng andrew

  1. E

    Ushauri na Maoni kozi ya Mechanical Engineering

    Unaweza kufungua workshop ndogo ya kuchomea,vifaa grender,drill machine,welding machine,nk pia ukaweka compressor ya kuweka upepo kwenye magari na pikipik pia kuziba pancha .jitahidi kuchagua site nzuri Mimi nilianza hivyo tu nipo mbali Sana Nina hadi leath machines karibu
  2. E

    Gereji gani ya kuaminika mjini Moshi? Toyota IST brake system haiko vizuri!

    Nenda gerege ya vijana wapo karibu na soko la mbuyuni,au uliza kwa ulaya majengo kituo cha kdc mbele kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    Toyota Caldina or Fielder inahitajika

    Ingia fb andika magari sokoni yako itaisha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    Nini kifanyika kuondoa adha ya mafuriko DSM na namna gani kuondoa makazi hatarishi mabondeni

    Ushauri wangu in kwamba civil engineers na wataalam wengine huu ndio muda wao wa kufanya research kuhusu geografia ya maeneo yanayoathiriwa na mvua especially mapondeni nk.kazi ya engineers ni kubuni namna ya kuondoa matatizo yanayoikumba jamii japo sina uhakika na engineers wetu kama wanajua...
  5. E

    Kozi ya community development ina mahesabu?

    Kasome ukauze mitumba Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    Aliyechaguliwa MUST tukutane hapa

    Pole sana tafuta kaz kwanza chuo bila loan noma halafu must mziki wa CD 1000
  7. E

    Kwanini waya wa Pasi ya umeme unajisokota?

    jibu la kitaalam ni kwamba cable ya pasi huwa flexible kutokana na matumizi yake mfano unapopiga pasi unakuwa unapeleka pasi mbele then nyuma sometimes pembeni nk.so layer ya juu ya hiyo cable ina material kama ya nguo fulani so unapopiga pasi hiyo layer huwa inakuwa kama inasokotota wire ndani...
  8. E

    Aliyechaguliwa MUST tukutane hapa

    mi nimemaliza mwaka jana hapo so hongera ni chuo safi sana ila full msuli sio mchezo
  9. E

    App ya kuangalia tv za bongo hasa za azam

    asante best hata mm nimefanikiwa
Back
Top Bottom