Recent content by End time

  1. End time

    Hawa wafuatao kabla ya 2020 kuingia wawe wameshatafuta kazi nyingine

    Mzee baba leo umesahau namba yako ya simu
  2. End time

    Ziara ya Rais Magufuli huko mikoani inaonesha somo wananchi halijawafikia!

    Ok asante kwa kuwa mzalendo nimeipenda reply yako...nisaidie kipimo cha uzalendo na mimi nijikague kama ni mzalendo au mfuasi wa mabeberu...hahaaaa! Kazi njema mkuu
  3. End time

    Ziara ya Rais Magufuli huko mikoani inaonesha somo wananchi halijawafikia!

    Haya mrembo mbona namba ya simu haujaweka? wewe hutaki uteuzi? Umetoka povu namna hii kuwatetea wanyonge,huku ubongo wake umefungia kabatini unatumia tumbo kufikiri na kuandika
  4. End time

    Ukimgusa Magufuli umenigusa mimi, sitakuacha salama. Magufuli ushindi tena 2020

    Khaaa! Agustino nawe kujikomba gani sasa huku hivi umeenda shule kweli? Au ndio akili zako kwa sasa ziko likizo unatumia masuburi kufikiria,mimi naamini hata mzee baba akiusoma huu uzi wako atagundua umezidisha kujikomba..huteuliwi kamwe umechelewa,heri ya Propesa Lipumbavu kuliko wewe
  5. End time

    Ujumbe wa wazi kwa John Mnyika na hali ilivyo jimboni kwake

    Mnyika alishajua hawezi kurudi bungeni naamini amejiandaa kwa maisha mengine nje ya bunge,sisi wengine ni wakaaji wa jimbo hili hatujawahi kumwona toka uchaguzi mkuu 2015 mambo nengine jimboni ni ya hovyo na yeye wala hata haangaiki,mleta mada ameeleza vizuri, Mnyika ni kama Nassari tu,wameshiba...
  6. End time

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Mkuu asante kwa mawasiliano nitakutafuta kwa shule zaidi, Asanye
  7. End time

    Mvomero: Upatikananaji wa Ardhi na Mazao yanayostawi

    Wanajamvi, Mimi binafsi nina eneo langu la takribani ekari 18 maeneo ya bwawani wilaya ya Mvomero njia ya kuelekea Dodoma baada ya kuvuka mizani mkono wa kulia mwendo kama wa dk 30 kwa pikipiki,ardhi ni nzuri bado virgin ila changamoto yake eneo hilo halina vyanzo vya maji kama mito ya uhakika...
  8. End time

    Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

    Kama ikitokea CAG akaitikia wito wa kufika mbele ya kamati ya maadili kuhojiwa wadau tuna haki ya kujua hiyo team ya maadili inaundwa na wabunge gani,profile zao tafadhali maana huko sifa mojawapo ni kujua kusoma na kuandika, sasa Profesa atahojiwa na nani au watakuwa na TOR za kuwaongoza. Yetu...
  9. End time

    Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Boeing laweza kuchepuka likaelekea kubeba mzigo Ghwanzhou likaleta kkoo
  10. End time

    Marekani yapeleka wanajeshi Gabon ikihofia machafuko Congo

    Mkuu nauliza tu,hivi laana ya mtu mweusi inaweza kumpata mtu mweupe?(Mzungu)
  11. End time

    Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Kama habari hii ni ya kweli basi tunabidhaa nyingi tu zinaozea shambani/sokoni pawe na business plan nzuri masoko yatafutwe dege letu litupelekee matunda kama ndizi,embe,tikiti machungwa huko ughaibuni na hasa middle east wazee wa jangwa hawana matunda nasisi wakulima tutajirike...hongera...
  12. End time

    Wasaka Urais 2020 ni zao la mafisadi na mabeberu

    Pole mzee baba kwa gazeti refu jamaa wakukumbuke kwenye uteuzi,wasikuache jamani povu lote hili
  13. End time

    T.B. Joshua amebeba siri gani kifuani, anatumika

    Kazi kwelikweli,inasemwa katika biblia sina hakika kwa dini zingine kuwa waendao jehanamu ni wengi kuliko mbinguni/peponi haya yatadhibishwa na hii mada na wachangiaji wake,devil at work lakini haizuii watumishi kupiga kazi ya Mungu aliehai,call them any names you wish but they will proceed...
  14. End time

    T.B. Joshua amebeba siri gani kifuani, anatumika

    Pole mkuu unatoka povu na mambo ya imani basi sawa watu kama wewe watakupongeza kwa huu mchango wako ila wale wanomwabudu Mungu hawawezi kubishana na mtu kama wewe watakuombea na wewe upate nuru ya kuujua ukweli bado uko gizani endelea kukashifu tu viongozi wa dini,kuhusu nani tapeli nani si...
Back
Top Bottom