Recent content by emperor

  1. emperor

    JamiiForums Tanzania TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Elezeq mkuu? Maana Mauritius imepakana na Madagascar na hakuna concern za Usalama. Cape Verde iko near Senegal na hakuna shida. LESOTHO kimsingi ipo ndani ya South Africa na imezungukwa pande zote..nini kipya hapa TZ tuaeme muungano umekaa kiulinzi?
  2. emperor

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

    Ina maana JF nzima haina hata mtumishi wa TARURA atudhibitishie pasi kuwa na shaka kwamba yule dereva ni mtumishi wao?
  3. emperor

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

    Hana akili za kung'amua hayo
  4. emperor

    JamiiForums Tanzania CDF ,IGP, DPP jiandaeni kujibu Aliyeua Watanganyika Oktoba 29 2025 ni nani? Na Nani aliwapa Order ya Kuua Watanganyika Oktoba 29!

    Walichelewa sana kusimama. Hawa ukuu huo mnaoufikiria ndugu zangu
  5. emperor

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Peleka ujinga huko court investigation/hearing sio adversarial. Na hao watu Lisu ndo aliwataka mwenyewe. Sio kwamba ni Jamhuri imewaita
  6. emperor

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Hahahahahhahahaha nimecheka kisenge aseee
  7. emperor

    JamiiForums Tanzania Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

    Tatizo tunashindwa tofautisha matendo ya dola na matendo ya SSH
  8. emperor

    JamiiForums Tanzania Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

    Unachekesha wewe sio bure
  9. emperor

    JamiiForums Tanzania "Chenji Tumeishiwa, Chukua Pipi" — Huduma Mbaya kwa Wateja Tanzania, Tuzungumze

    Hio ya "tumekosa chenji chukua pipi" ni makosa chini ya Sheria ya Ushindani Namba 8 ya mwaka 2003. FCC wamelalaaaaaa
  10. emperor

    JamiiForums Tanzania HOJA Tume ya Ushindani wa Kibiashara nchini (FCC) inajua kweli kazi yake? Ipo kimya kwenye mambo mengi sana

    Kwa kweli matatizo ya ushindani wa kibiashara, kumlinda mlaji na biashara haramu ya bidhaa bandia ni matatizo "serious" sana katika jamii yetu. Tatizo la eneo lile zipo kazi kwa uchache wake wanafanya ila hawahabarishi umma kabisa! Kurasa zao za mitandao zimejaa picha za viongozi na hawasemi...
  11. emperor

    JamiiForums Tanzania Kama Yale maandamano ya mapinduzi yangefanikiwa kufika jioni(Giza) nchi ingechafuka mpaka sasa kungekuwa na mapigano/vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Mimi sehemu nilipikuwepo wanajeshi walikua wana support tuandamane. Na polisi wakija wananawaambua raia watawanyike. Ukweli ni kuwa Jeshi (vijana wanajeshi) walitaka mapinduzi ila hawakua na pa kuanzia
  12. emperor

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

    Sovereignty ndo utaijua kama ina mipaka au haina
  13. emperor

    JamiiForums Tanzania Simu niliyoagiza China kupitia AliExpress, naona imekwama kunifikia

    Kama ni Speedaf wanaleta utafika. Just relax.
Back
Top Bottom