Recent content by Empedocles

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanaoshabikia CCM hawana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kusifia?

    Mbogamboga hawajitambui na hivyo kukosa hatua ya kwanza.Kwa kuwa uamuzi na uchanganuzi vyote vyategemea utambuzi,hayo ndiyo matokeo
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kaini alipata wapi mke wake?

    Apocrypha ni vitabu vilivyofichwa ili kuondoa mitanziko ya kimafundisho.Bible imeandikwa kwa reference 227 ambavyo ni non-canonical books na hivyo wenye hekima na akili ni ngumu kuielewa.
  3. E

    JamiiForums Tanzania China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

    MAGA-make america great again.Is an approach taken by Trump useful today?Let us wait and see.
  4. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

    Oligarchy Kikwete pamoja na warithi wenu,mwadhani tunawaelewa?
  5. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jingu: Wananchi hawapo tayari kukinukisha, Chadema itafeli

    Ukiwa sehemu ya walamba asali huwezitaka kukinukisha kwani mnuko huo ni dhidi yenu.Kauli jumuishi kama hiyo ni dalili ya kuvimbiwa asali na yatokayo kinywani ni athari za tumbo kuchafuka
  6. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga: Wasimamizi wa Uchaguzi kama kura zangu hazikutosha msiongeze, tangazeni kama zilivyo

    Mawakala wa vyama vya siasa katika uchaguzi huishia kituoni na huko kwa msimamizi wa uchaguzi
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Bungeni Dodoma, ina ufanano wa 80% na Mijadala ya Watanzania Mitaani na kwenye vyombo vya habari kama Radio

    Usisahau uchawa na kulaumu serikali kutowajibika kwa changamoto za kijamii na wao kujiweka kando.Mfano:serikali hajafanya haya na yale lakini wewe ni mlipakodi umekaa pasipo kazi na lawama kwa serikali
  8. E

    JamiiForums Tanzania Black people hate everything about slavery except religion

    Were Africans not worshipping before arrival of the colonial god?Is colonial god supreme than African gods?Actually this is mind slavery.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Pombe kali zinazo tumia kemikali ni hatari kuliko zile zinazo tumia mazao

    Jamani tupunguze uzushi kwani huku ni kudhalilisha jukwaa.Kilevi kipatikanacho katika pombe ni ethanol ambayo hupatikana kwa kuchachua(ferment) sukari.Chanzo cha sukari huamua aina ya pombe iwe bia ama divai.Utoneshaji(distillation) wa bia ama divai twawezapata spirits ambamo pia kuna whisky,gin...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Only theists are possessed by demons, You can never see an atheist possessed by demons.

    Awezaye kujaji mtu kuwa ni idiot ni mhitimu katika shule ya idiotism na hivyo sijui yeye ni nani.Free will vs determinism ndiyo mada yetu,jazba na matusi vya nini?
  11. E

    JamiiForums Tanzania No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

    Upo msiba hapa mtaani uliotokana na mke kumuua mume kwa kumchoma kisu mumewe katika magomvi.Inafikirisha haswa ukiangukia kwa feminist,hii haijalishi kisomo chake kwani wanashirikiana.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kumlazimisha mtu kutoa sadaka ya shukrani kwa kufiwa na mama yake aliemuuguza miaka 10 kwa cancer na stroke yenye mateso makali sio sawa

    Emancipate yourself from mind slavery by pretending to be arrogant.
  13. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wapo wana CCM wanaounga mkono 'no reforms no election'

    Utopia(Greek)-an argument without ground
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

    Kwenda shule ni suala moja na kuelimika ni jingine.Uliyepita shule watambulikaje mbele ya jamii?Au nawe wataka kuwa kama wazee wetu wa darasa la nane kwa tambo za kiingereza pasipo na tija katika jamii?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

    Professional code of conduct contends that TEACHING IS A VOLUNTEERING WORK.Tangu chuo mwalimu hufundwa kuridhika na hali yake kwa gharama za uzalendo kwa taifa.Basic tenets za falsafa ya idealism ndizo nguzo ya professional code of conduct for teaching hivyo tuoneeni huruma tu lakini ni...
Back
Top Bottom