Hii Astropay naona majamaa Wameipondea Sana Hadi wakanitisha tamaa, ukiangalia review ya hii app ni hatariii, wanasema kudeposit ni rahisi Ila kuwithdraw is as bad as hell.
Mkuu Juzi nilipita maeneo ya chekereni, nilifanya kuulizia pale Ni wapi maana Nilikuwa sipajui,nikaambiwa panaitwa chekereni, watu wanatajirika Sana pale, Kuna mashamba ya nyanya. Naomba kujua huko mashamba wanakodishaje mkuu?.
Jamani nyie mnaobet high stake Kuanzia laki 2 kwenda juu huu moyo mnautoa wapi jamani?..hebu nifundisheni mwenzenu Aki Jana kwa Mara ya kwanza nilibet 100k kwa single bet sikulalaa usiku mzima Niko naiwaziaa[emoji23][emoji23][emoji23] na mbaya zaidi game ilikuwa ya saa 9 usiku. Nimeamka Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.