Recent content by Emmet

  1. Emmet

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Habarini za mda huu wakuu! Ninashida na sample ya talaka ya ndoa ya kikristo ambayo imetolewa ma mahaka. Yoyote mwenye sample ya talaka ya namna hiyo naomba anisaidie. Natanguliza shukrani! [emoji120][emoji120][emoji120]
  2. Emmet

    Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    Sasa Ukraine sini taifa huru lina haki yakuamua mambo yke! Au Ukraine ni jimbo la Russia?
  3. Emmet

    Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Sababu ya kuishambulia Ukraine ni nini?
  4. Emmet

    Je, mlalamikaji anahaki ya kuanzisha kesi upya katika ofisi ya kata ilihali kesi ilishafika mahakama ya Wilaya?

    Kesi ilianzia mahakama ya mwanzo akashindwa akaenda mahakama ya wilaya wakati kes inaendelea mahakama ya wilaya mwenyekiti wa mtaa ambae alikua ni jirani yetu akatu shauri kwann tusi yamalize, tukayamaliza sasa baada ya miaka kumi na sita jamaa kaingiwa tena na tamaa kaenda kata kufufua kesi...
  5. Emmet

    Je, mlalamikaji anahaki ya kuanzisha kesi upya katika ofisi ya kata ilihali kesi ilishafika mahakama ya Wilaya?

    Habarini za wakati huu waungwana! Naomba kujuzwa kenye mambo ya migogoro ya ardhi je mlalamikaji anahaki yakuanzisha kesi upya katika ofisi za kata ya serikali za mitaa, ilihali kesi ilisha fika mahakama ya wilaya zaidi ya miaka kumi na sita iliyopita na hakuendelea nayo mpaka mwisho je leo...
  6. Emmet

    Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

    Kwel inategemea anaangalizia kwenye nn kama ni cm haina shida ila kama ni tv basi isipungue 720p Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  7. Emmet

    Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

    Asante kwa mchanganuo mzuri mkuu ngoja nianze nacha office standard alafu nitakuja na mrejesho Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  8. Emmet

    Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

    Na hii Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  9. Emmet

    Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

    Package na gharama zake ni hizi hapa Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  10. Emmet

    Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

    Ndio mkuu hao ni Ttcl na wanatumia coaxial japokua huduma ya fiber wana provide pia japokua ni gharama za mteja kufikishiwa huduma ila kwa coaxial ni gharama zao 12/1mbps nahis ndo wanamaanisha 12mbps Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  11. Emmet

    Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

    T office lite speed ni ndogo sna mkuu, japokua ni wazo zuri pia. Movies ninazo nyingi sababu kubwa yakutaka Internet ni kudownload movies/series mpya ambazo zinatoka kila siku na movies moja moja ambazo mteja atahitaji na mm sina. Nilikua na wazo lakuchua Package ya T volume GB 150 speed ya...
  12. Emmet

    Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

    Habari za muda huu wadau, naombeni mawazo ni package gani kati ya hizi mnanishauri nichukue itanifaa kwenye biashara yangu hii mpya ya library ambayo inahitaji huduma ya Internet ili nidownload movies na series! Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  13. Emmet

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari ndugu Admin naomba kujuzwa gharama zaku ongeza meter ya luku katika nyumba ambayo tayari ina meter, Nipo Ilala bungoni vilevile naomba kujuzwa taratibu gani ni fwate na kipi na kipi kina hitajika ili kukamilisha mchako na itachukua siku ngapi mpaka kua tayari? Sent from my SM-G9550...
  14. Emmet

    Msaada wa mawazo katika kufanya maamuzi

    Excuse yaki bwege kabisa hiiiiii ila anyway maisha ni mtihani na kila mtu anamswali yke! Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom