Recent content by Emmathias

  1. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Serikal kuu versus serikali za mitaa

    Asante sana mkuu, naomba nije inbox unifundishe huu muundo natamani kuujua kiundani zaidi
  2. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Je, kuna njia au dawa ya kupata Mapacha?

    Ndiyo inawezekana, Kuna maji ya mto Lugonesi upo katavi ukinywa maji ya huo mto utazaa mapacha. Ingia utube andika mto LUGONESI utapata shuhuda za kutosha.
  3. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amekosa choo kwa siku saba, nisaidieni

    Ana ujauzito?
  4. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Baada ya kumaliza kuandika nafanya nini? Nayatunza mtu mwingine aje kuyaona au nayatupa? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Emmathias

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanalazimika kubeba hasara kubwa tunazopata wananchi, kutokana na mgao wao wa umeme, usio na ratiba maalum

    Pole sana Mkuu, Mimi Nina butcher la samaki na kuku nimeshalia mpaka nimechoka. Naichukia sana hii serikali iliyopo madarakani
  6. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Naungana na Zanzibar kuzuia Wamasai kutembea na SIME na RUNGU

    Wamasai sio wakorofi miaka yote wanatembeaga na silaha zao za jadi bila tatizo. Hii laana ya kuwafukuza kwenye ardhi yao inawatafuna na mkome kabisa. Mmasaai kuvaa lubega na kuchukua sime na rungu ndiyo utamaduni wao.
  7. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

    Mkuu umenigusa, Mimi Nina butcher la samaki na kuku mzigo umeingia saa 18:13 pm umeme haukuwepo na Hadi Sasa hivi saa 21:17pm umeme haujarudi. Mapigo ya moyo yanadunda, nimemaliza chuo nikachichanga kufungua biashara afu serikali inashindwa hata kutupa huduma ya umeme? Wanataka tukajiunge na...
  8. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Vitu unavyopaswa kujua baada ya kuwa na umri wa miaka 35

    Life begins at 40 years
  9. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Bila kumsahau mwalimu Mkandawile, alikuwa anafundisha Chemistry huyu mwalimu alikuwa ni hatariiiiii. Alikuwa Mwanza sijui kama yupo
  10. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Mwalimu Michael ( Mnyama) alikuwa anafundisha Physics na Maths pale Mwanza, huyu mwamba alikuwa ni hatari kwa hayo masomo ila tatizo alikuwa anatumia muda mwingi kufundisha na kusahau kula. Hakuwahi kuwa na sikukuu, Christmas au mwaka mpya pindi linaendelea
  11. Emmathias

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

    Utatumia gari lako binafsi mkuu, pole sana
  12. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Tani Elfu 50 za sukari kuingizwa nchini kukabiliana na upungufu uliopo

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Emmathias

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Samahani mkuu, mtu mwenye umri gani yupo kwenye hatari ya kupatwa na huu ugonjwa?
Back
Top Bottom