Recent content by emmasa

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kufanya online/internet

    poa mdau, ebu jaribu kutembelea hizi website: elance.com au guru.com, then fatilia maelekezo utayopewa
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, secretariet ya ajira Tanzania nimewakubali! Hongera sana!

    mh hongera lakini sisi tutajuaje kuwa hukutoa rushwa? Kama walioshindwa ndo wangesema haya maneno ningekubali lakini wewe uliyeshinda napata hofu kidgo
  3. E

    JamiiForums Tanzania JF imenitoa, shukrani

    Kila la kheri mdau
  4. E

    JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira,Kuitwa kwenye usaili(call for interview) 19-20june,2012

    duh, mbona fani zingine hatuzioni hapa? au zile ajira zaidi ya 2000 zilizotzngazwa hazimo kwnye interview hii? mwnye idea please naomba majibu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Demu wa ku refreshi nae mind

    Hello there, my mind is tired i am looking for someone special(girl) wa kurusha nae roho if interested reply then i will give u contacts
Back
Top Bottom