Jamani wadau nhif wametoa shortlist ya interview nunua mwananchi la leo 08.08.2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wadau nhif wametoa shortlist ya interview nunua mwananchi la leo 08.08.2012

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Qulfayaqul, Aug 8, 2012.

 1. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mwananchi wametoa shortlist ya walioomba kazi katika gazeti la mwananchi la leo tarehe 08.08.2012. Ila hawajatoa majina wametoa condition tu za wanaoitwa kama:

  1. Muombaji lazima awe na umri usiozidi miaka 40.
  2. Muombaji lazima awe aliomba kwa kutumia barua iliyoandikwa kwa mkono.
  3. Lazima awe aliambatanisha picha ya pasport size.
  Na vingine vingi nimevisahau. Hebu jaribu kununua gazeti la mwananchi la leo 08.08.2012
   
 2. mischa

  mischa JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 374
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  heh asante mkuu
   
 3. e

  emmasa Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mdau
   
 4. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Asante kwa taarifa. Ila tatizo sikumbuki niliomba nafasi ipi. Naombeni ushauri, nifanyeje?
   
 5. m

  markj JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mkuu! nashukuru! juzi nilituma thread yangu kuuliza vipi nhif! wadau wakaipotezea! habari hizo ziko mwananchi! tutafuteni huli gazeti tusome! mana nimeona ishu ya kuwa na masters degree! sijawaelewa! ivyo tufafanuliane
   
 6. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hivi hiki kigezi kwamba barua iwe imeandikwa kwa mkono kinazingatia viwango/kanuni gani?
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  sijajua sana! ila wakati tunafanya maombi,walituambia ni lazima barua iandikwe kwa mkono!
   
 8. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Thanks mkuu, Mungu akuzidishie yote yaliyo ya kheri
   
 9. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  makubwa haya.
   
 10. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  thank you..
   
 11. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Nimekusoma mkuu, ahsante
   
 12. mabumbe

  mabumbe JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 305
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mkuu wabeja saaaaaaaana,
   
 13. m

  markj JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mkuu amekosea aliye post! Hivyo vigezo ni vya wasiohitajika! Alikuwa na haraka mno!
   
 14. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ok,thx ngoja niangalie madesa yangu kama niliapply huko.
   
 15. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 565
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Kwa kweli hii issue ya NHIF imekaa kihuni sana ni vipi unautangazia umma kwamba waombaji wenye masters walioomba wasihudhurie? Hii issue ni ya kwanza kuiona na kuisikia tena kupitia agency kubwa ya serikali....hapa lazima kieleweke nitaandika barua nhif na kuicopy utumishi, public service commission na wizara ya afya kulaani taratibu za kikandamizi na zisizo na tija kama hizi....sasa wakati serikali inahimiza watanzania tusome ili tuongeze ujuzi hawa wanasema waliosoma sana hawaitajiki bila shaka watakuwa ni wazee wa zamani wanye "vijanaphobia" katika soko la ajira....shame on them NHIF...nimekwazika sana sana sana..aaagh!!!
   
 16. m

  markj JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  lakini qualifications si zilisema degree of .....! au ikiwa ni degree mtu wa maters na phd anaruhusiwa tu kuapply, naomba unijuze hapo! siunajua wengine sie fresh from school mkuu!
   
 17. saimon111

  saimon111 JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,712
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  1. kama umri umezidi 40 usiende
  2. kama application latter hukuandika kwa mkono usiende
  3. kama hukuweka picha usiende
  5. kama unayo masters usiende except kwa post ya risk officer
  6.kwa post za udereva kama elimu yako chini ya form four usiende
  7. post of quality assurance officer applicants who are not medical doctors
  8. post of risk officer applicants hawe na uzoefu wa sio chini ya 3 years
  9.post of senior admini, senior HR applicants kama hauna degree au diploma ya human resource, public admin, sociology usiende, na pia huwe na experience ya miaka angalau mitatu.
  nimescan page ya hilo gazeti but nashindwa jinsi yakuwawekea labda mtu anielekeze
   
 18. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ntajie page mkuu katika hilo gazeti
   
 19. M

  Mgwisha Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ukweli kama ndo masharti hayo ajira haikutangazwa bali kutuzingua vigezo vipo kinyume na tangazo sasa kuna ajira hapo au tayari walikwisha chukuana wanataka wakatuone tulivyo choka.
   
 20. D

  Dina JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Am sorry, lakini kwa mtazamo wangu sijawahi kusikia tangazo la KIVIVU kama hilo! Si wawape recruiting agent awafanyie kazi ya kueleweka?

  Mara ya kwanza nilisikia waliwaita kwenye written interview pale baraza la maaskofu, au sio hawa? Kwa hiyo hiki kinachosemwa hapa ndio walicho-short list?
   
Loading...