Recent content by Emmanuel Vegula

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tbl arusha

    Tanzania Breweries Limited Arusha walitangaza post za Trainee for graduate positions ktk vitivo kadha ambavyo ni Engineering na Packaging,lkn mpaka sasa cjackia tetesi zozote za kuita watu coz deadline yao ilikuwa tar 31/10 mwenye taarifa zozote naomba anijuze.
  2. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO - Kigoma

    Washaita tayar na interview ni next wk j5 tar 30 mkubwa
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye intaviu NHIF

    kwahiyo no coment,nimebaki mdomo wazi!!!???
  4. E

    JamiiForums Tanzania career opportunity in mbeya.

    Jaribu Mbeya Institute of Science and Technology (MIST)
  5. E

    JamiiForums Tanzania habari wadau!

    hivi hii programme walotoa hawa SBL ya GRADUATE PROGRAMME (PAN AFRICA EARLY CAREER PROGRAMME) una-apply vp? coz hawahitaji u2me CV na cover letter kwa email wala address msaada tafadhali.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya system admin or database admin

    omba st john university (dodoma) wametangaza kazi hizo -bla shaka zinakuhusu, jaribu kuchek Financial System - Data Base Administrator St. John’s University of Tanzania Deadline: 24/09/2011 Database Development Administrator St. John’s University of Tanzania Deadline: 24/09/2011...
  7. E

    JamiiForums Tanzania CV

    shukrani sana nimeng'amua ki2!
  8. E

    JamiiForums Tanzania To all job seekers particularly fresh graduates

    pa1 mkali, mwenyewe ni fresh graduate nina degree ya electrical engineering, but kinacho2kwamisha mtaa ni experience kila kaz wanayotangaza wanadai experience kuanzia miaka 5 nakuendelea,kiufup kwe2 inakuwa shuhur, coz mfuko m2pu nothing 2do! na kazi nyingi undugulaization kibao, kwakweli ni...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Piiiiiii!!!! Matangazo ya ajira feki

    shukran mkubwa, tena big up sana,wa2 tunahangaika wao wanacheat inakera sana!
Back
Top Bottom