Recent content by Emmanuel Vantilnez

  1. Emmanuel Vantilnez

    Najivunia kuwa brazamen

    Kwa kweli kua brazameni kuna raha yake,umeongea point sana boss kwenye huu uzi
  2. Emmanuel Vantilnez

    Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

    Hivi hyu alietengeneza hii jamii forum alitak Agundue nini?
  3. Emmanuel Vantilnez

    Ambao hatuna Magari tukutane hapa!

    [emoji23][emoji23][emoji23] pale ambapo jamaa hali ngumu lakin anajarbu kujipa.moyo
  4. Emmanuel Vantilnez

    Chuo kinachotoa Kozi ya Economics kwa level ya certificate na diploma

    Shukrani mkuu, branch zote za CBE znatoa hyo au maincenter tu?
  5. Emmanuel Vantilnez

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomben marekebisho kwny huu mkeka wakuu,tunatafuta hela za kesho
  6. Emmanuel Vantilnez

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu nAOMBEN marekebisho kwny mkeka wang huo
  7. Emmanuel Vantilnez

    Chuo kinachotoa Kozi ya Economics kwa level ya certificate na diploma

    Habari wana jf, nmehitimu kidato cha nne, nataka nkasome Economics ngazi ya certificate, je ni chuo gan kinachotoa kozi hyo. Pia inawwzekana nkasoma microfinance management diploma then nkifka degree nkasome basic technical in economics development. Namshukuru Mungu fom four nmefanya vzr...
  8. Emmanuel Vantilnez

    uwezekano wa kupata scholarship degree kma hujapitia advance

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Emmanuel Vantilnez

    uwezekano wa kupata scholarship degree kma hujapitia advance

    Habari wana jf,hvnaweza kupata sholarshp za kusoma degree kma nmepita college na sio advnce? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Emmanuel Vantilnez

    Ningejua mapema nisingesoma advanced secondary education, it is completely a wastage of time and resources

    Sasa nkipita collage,nkienda degree naweza kupata scholarship Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Emmanuel Vantilnez

    Nataka kwenda chuo sio advnce

    Na pia naskia kunavyuo vya kuanzia diploma sio certficate Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Emmanuel Vantilnez

    Nataka kwenda chuo sio advnce

    Habari ndugu zng,nmehitimu kidato cha nne nmepata div 1:15 nachukua masomo ya biashara, na kombi zote zmebalance lkn staki kwenda advnc nataka niende chuo,naomben ushaur wenu course ya kwenda Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Emmanuel Vantilnez

    elimu

    J Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom