Hatuhitaji sana kujua atachotufanyia kwan hakuna kiongozi ataekuomba kura atakwambia mabaya,cha msingi inabidi ulinganishe sera zake na alichotufanyia watanzania kinachoonekana,sio tu eti nimejenga barabara afu uchumi umeshuka barabara zimetusaidia nn ?,mtu katujengea shule za kata al...
Swali la kujiuliza hapa ni kwamba Kwan hakuwa waziri mkuu ? Na kama alikua waziri kwann asiitwe mstaafu ? Na kwann asilipwe stahiki zake ? Au hakuwa mtumishi wa umma ? Je,wewe ulieuliza unaakili timamu ?
Mfa maji haishi kutapatapa,hakuna asiejua kama El ni fisadi baada ya kuchafuliwa ndani ya miaka nane lkn bado watanzania wana imani nae kutokana na kazi nzuri aliyowafanyia wakati akiwa waziri mkuu,lazima alipwe fadhira zake,sioni magufuli anapomshinda El zaidi ya kuchukiwa na watu waliobomolewa...
Kwenda msibani ni namna mhusika alivoguswa na msiba haijalishi unasindikizwa na watu wangapi,hawa polisi wa ccm wawe wanafikiria mara tatutatu kabla ya kutekeleza maamuzi ya mabosi wao,El ni mgombea uraisi ukawa lkn ni waziri mkuu mstaafu kwa vyovyote vile lazma atakuwa na msafara wa watu wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.