Recent content by Emmanuel Piniel

  1. E

    Kichwa Chini: Logic Does not Support Mwigulu..Politics Do

    Hayo yote yanayojitokeza hivi sasa ni matokeo ya kumlazisha mtu kama Mwigulu kushika nafasi kubwa ya chama ambapo tumeona kabisa uwezo wake kiutawala ni mdogo sana. Hakuna hata anachoongea kikaonekana ni tamko la kiongozi wa juu wa chama . CCM kunahaja wachukue maamuzi kabla hajasababisha...
  2. E

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Hizo ndizo ajira mpya kwa vijana ila zina masharti
  3. E

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Hi mpaka waziri anatumia gharama zote kwenda Mwanza kwenye kikao cha kugombea kuchinja Mkuu wa Mkoa yeye anafanya nini kama hata mambo madogo kama haya yanamshinda? Hii ni kasoro kubwa.
  4. E

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Huyu ndiye aliyeonekana anafaa kutatua hili tatizo na ametoa maamuzi ya kijinga kama haya ; Hivi uko nje wanapoenda si wanatutia aibu hivi hatuna viongozi wenye uwezo zaidi ya huyu ambaye bila aibu ameonekana kwenye TV jana na misimamo ya kijinga.
  5. E

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Tufikirie mambo mazuri yakutuletea maendeleo. Kuchinja imekuwa issue hamna jipya kila siku mawazo finyu. mara kuvunja makanisa etc hivi ni lini tutafika. Sisi wakristo tunahaki ya kuchinja mawazo yenu na maamuzi yenu ya jana na huyo kiongozi ni yenu.
  6. E

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Kila dini inahaki ya kuchinja hivyo sioni sababu ya dini moja kuonyesha uharari wa kufanya hivyo pia nawashauli viongozi serikarini msitowe misimamo ambayo inamadhara na aibu kwa uma kwani sisi wananchi tunashangaa kuona kiongozi mkubwa kama huyu anapotoa misimamo kama hiyo aliyoitoa jana ni...
  7. E

    Kutokwa na nyongo muda wote mwilini sababu ni nini na madhara yake, Je tatizo linaweza kuisha?

    Ni kwamba nilifanyiwa kipimo cha hydascan KCMC ambapo waligundua kuna a bile leak kwenda kwenye abdominal cavity. Hili tatizo hunisababishia maumivu makubwa tumboni hivyo lengo langu hasa ni kufahamu kama huu ugonjwa unatibika na husababishwa na nini pia madhara yake hapo baadae.
  8. E

    Kutokwa na nyongo muda wote mwilini sababu ni nini na madhara yake, Je tatizo linaweza kuisha?

    Mkuu umenielimisha vizuri sana na nimekuelewa, nitakuja tena kwako kwa ufafanuzi zaidi endapo itahitajika. Thanks
  9. E

    Kutokwa na nyongo muda wote mwilini sababu ni nini na madhara yake, Je tatizo linaweza kuisha?

    mfuko wa nyongo mwilini unatakiwa kipindi furani ufunguke ili nyongo itoke na kipindi furani hufunga kuzuia nyongo isitoke. kwa upande wangu imeonekana huwo mfumo unakasoro na hivyo kutokuwa na control na hivyo nyongo utoka tu . naomba mnifahamishe hili tatizo ni nini chanzo chake na madhara yake
  10. E

    Kutokwa na nyongo muda wote mwilini sababu ni nini na madhara yake, Je tatizo linaweza kuisha?

    Tatizo la kutokwa na nyongo ndani ya mwili mda wote husababishwa na nini na madhara yake ya yapi. Je hili tatizo linaweza kwisha?
  11. E

    KIKWETE na ushikaji wake, waiyumbisha Mwanza

    ipo siku yatatimia kama ilivyotokea misri etc
  12. E

    Unafiki wa wazi wa hawa watu...

    ni vigeu geu hawana msimamo.
  13. E

    Masanduku 16 yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa Arumeru Mashariki

    hizo ni zenu kupaniki kisha kujihami tusubiri matokeo na hiyo mikopo inayotumika kwenye kampeni itawasambaratisha
Back
Top Bottom