Masanduku 16 yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa Arumeru Mashariki

Hizi story za paka na panya hizi. Yasije kuwa kama yale ya mwaka 2010 kwamba mpaka wa tunduma yamekutwa masanduku yenye kura milioni tano zimemchagua kikwete. Taarifa kama hizi zaweza kuwa zinatolewa na CCM ili kutaka kuwachanganya akili chadema. Tuweni watulivu na focused kwa ajili ya uchaguzi wa kesho. Story kama hizi zisizokuwa na ushahidi hazina maana kabisa.
 
Mmeshaanza , mmeona mnashindwa mnaandaa visingizio in advance.

Hata kama kweli masanduku yamekamatwa na kura ndani lakini mwisho wa siku mawakala wenu watakuwepo pale kituoni watahesabu masanduku na kuangalia ndani kama yana kitu chochote.

go to hell!
 
Hizi taarifa nimezipokea kwa njia ya simu, ikanifanya ni browse jf kujua kama kuna mwingine mwenye taarifa hizi.
Inaonekana ni kweli, kwani mtu aliyenipigia hajawahi kudanganya.

Labda leo ndo anaanza uongo.
 
Mmeshaanza , mmeona mnashindwa mnaandaa visingizio in advance.

Hata kama kweli masanduku yamekamatwa na kura ndani lakini mwisho wa siku mawakala wenu watakuwepo pale kituoni watahesabu masanduku na kuangalia ndani kama yana kitu chochote.
Hakika toto la jizi ni jizi tu. IQ yako ni below 20.
 
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa mwanaharakati aliyeko Arumeru mashariki ni kwamba masanduku 16 yakamatwa Tengeru yakiwa na kura zilizopigwa. Yamepatikana masanduku hayo 16 yakiwa yameichagua CCM. Mwenye taarifa kamili tafadhali amwage hapa janvini. Photos will be appreciated.

inaonyesha ni jinsi gani mnavyo jiami kwa taarifa za kubuni kwa tabia hii mtaongoza hili taifa kweli? au mnataka kuongeza matatizo kwa wananchi
 
Hizi story za paka na panya hizi. Yasije kuwa kama yale ya mwaka 2010 kwamba mpaka wa tunduma yamekutwa masanduku yenye kura milioni tano zimemchagua kikwete. Taarifa kama hizi zaweza kuwa zinatolewa na CCM ili kutaka kuwachanganya akili chadema. Tuweni watulivu na focused kwa ajili ya uchaguzi wa kesho. Story kama hizi zisizokuwa na ushahidi hazina maana kabisa.

Mkuu unajua ulichokiandika? Wewe Mgeni hapa Tanzania?? Hapa kinachotakiwa ni kuwahimiza wapambanaji walioko field kuwa Alert. Kwa sababu one mistake one goal, Suala la kura feki ni kweli sana na MAGAMBA Wanalitumia sana.
 
Kitakachotokea Arumeru kutokana na mbinu chafu za magamba tunaomba sana watanzania wenzetu na dunia kwa ujumla msitulaumu, hatutavumilia kuona kura hata moja inachakachuliwa,.tutawafukia magamba hukuhuku wakiwa wazima ole wenu!!
 
Uwepo wa Mkapa Meru sio bure. Huyu baba ni jeuri na mwenye roho ngumu kuliko paka. Sasa ukiongeze nguvu ya EDO basi unapata picha ya kutisha. Wameru inabidi watumie ujasiri kuliko kipindi chochote katika historia ya eneo hilo vinginevyo wazee wa kuiba kura watafanya kweli.
 
p6(176).jpg

kwa hisani ya ippmedia
 
Ccm, mnadai mtatawala milele kumbe kwa njia ya kuiba kura, muelewe kuwa wakati huu umakini wa CDM
katika kulinda kura ni wa hali ya juu sana. Tume ya uchaguzi kuanzia sasa hivi mnahitajika kutumia
" Transparent Ballot Boxes " ili kuondoa njama zaidi za kuiba kura.
 
Hili wazo lipelekwe bungeni na sheria ilazimishe hilo kufanyika. Mie si mwanasiasa kwa hiyo hata sijui mnafanyaje kufanya jambo liwe sheria, lakini kwa kweli hili ni wazo zuri saaaaaana! Zitumike Transparent Ballot Boxes kuanzia hapa tulipo, hata kama si kesho pale tengeru
 
Hizi story za paka na panya hizi. Yasije kuwa kama yale ya mwaka 2010 kwamba mpaka wa tunduma yamekutwa masanduku yenye kura milioni tano zimemchagua kikwete. Taarifa kama hizi zaweza kuwa zinatolewa na CCM ili kutaka kuwachanganya akili chadema. Tuweni watulivu na focused kwa ajili ya uchaguzi wa kesho. Story kama hizi zisizokuwa na ushahidi hazina maana kabisa.
Je na wewe una ushahidi na hicho unachobisha?
 
April fools day election! Wonder who will be fooling who? Chakachua ni chakachue. Impunity for impunity.
 
Back
Top Bottom