Recent content by Emmanuel Mtemi

  1. E

    Unanunua Ndege, Waalimu hawajalipwa Miezi 5!

    Porojo nyingine zinawafaa wale jamaa wa Mirembe. Hawajalipwa miezi mitano wanaishije. Wamekuomba wewe uwasemee kwa sababu wao hawawezi kufanya hivyo. Mtumishi wa serikali aliyeajiriwa kwa mkataba hawezi kufanya kazi miexi mitano bila kulipwa ujira wake. Hizo porojo zipeleke kwa wanaozipenda...
  2. E

    Ethiopia wamejenga reli ya treni ya umeme mpaka bandari ya Djibouti,hawatatumia bandari ya DSM!

    Hapo ndipo ninapowashangaa kwa sababu mnakosoa kila kitu. Kazi kweli kweli
  3. E

    Ujinga ni kununua umeme wa maji toka Ethiopia wakati Nile inaanzia Tanzania

    List ni ndefu sana, ni ujinga kununua nguo kutoka China wakati pamba inalimwa Mwanza, ni ujinga kununu samaki vibua kutoka Afrika Kusini wakati tuna bahari kutoka Tanga hadi Mtwara, ni ujinga kununua Viatu kutoka Kenya wakati nchi yetu ni ya tatu kwa kuwa na mifugo mingi Afrika, ni ujinga...
  4. E

    Upi Utajiri na mali za mh. Rais Magufuli?

    Ah, jamani mbona tunapotezeana muda. Ni rahisi sana ukitaka kujua Mali za mtumishi wa umma nenda tume ya maadili ukiona huko hutapata msaada unaouhitaji nenda Takukuru, kama huko kote hutapata msaada mshukuru Mungu kisha KAA KIMYA.
  5. E

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Kama sote sisi sasa tuelekeze mawazo yetu katika swala la vyeti vya Bashite then basi tumepoteza lengo. Mkuu wa mkoa siyo mtumishi hicho ni cheo cha kisiasa sawa na waxiri na wabunge. Mawaziri, wakuu wa mikoa/wilaya wapo hivyo kwa ridhaa ya Rais. Ana madaraka ya kuteua na kutimua. Wote hao...
  6. E

    Tuache maigizo Magazetini, utakamata vipi makontena ambayo yametunzwa hapo kihalali?

    Namkumbuka Mwl Nyerere, aliwahi kusema kama hatuna utaalamu wa kutosha kuhusu madini tuyaache huko huko aridhini hadi hapo vijanacwetu watakaposomea na kubobea. Leo hii wawekezaji wetu hawa wanahamisha madini pamoja na mchanga wake kwa maelfu ya tani na kutuachia mashimo. Wenzetu bila hata soni...
  7. E

    Maggid Mjengwa: Nape Hakwenda Na Midundo, Ilikuwa Ni Lazima Aondoke

    Mjengwa amejitahidi kulielezea lilo aliloliona kati ya waziri Nape na Rais. Hata mimi nilishangaa sana kwa waziri kuunda tume ikamhoji yule ambaye Jana tu Rais alielekeza achape kazi halafu ati ripoti ipelekwe kwa Rais. Mawaziri waliyowengi wamekwisha baini wanafanya kazi chini ya kiongozi wa...
  8. E

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu

    Rais amemteua Katibu Mkuu ikulu kwa sababu aliyekuwepo amestaafu, kosa liko wapi.
  9. E

    Wawekezaji wanaulaza: KAJIMA kufunga biashara Tanzania!

    Hivi mtu awe na elimu kiwango gani kujua mkandarasi akimaliza kazi iliuomleta analazimika kuondoka. Au ukiwa muwekezaji utaendelea kukaa nchini hata kama huna mradi wa kutekeleza. Kazi kweli kweli. Kumbe wakati mwingine kuwa na cheti cha elimu kizuri hakumfanyi mtu awe muelewa.
  10. E

    Mpaka sasa hivi kuna mwanaCCM anayemuunga mkono Magufuli?

    Tatizo letu tuliyowengi ni itikadi tunadhani inayosha kusema huyu kafanya hiki na tuungwe mkono. No, let's give him chance, time will come when each one of us will have decided as to whom deserve his vote.
  11. E

    Mpaka sasa hivi kuna mwanaCCM anayemuunga mkono Magufuli?

    Kumuunga mkono au kuto kumuunga ni hiari ya mtu. Hay yote Tisa, lkn kumi ni 2020. Tuvute subira
  12. E

    Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Hoax, kama nchi ina tume ya maadili ya viongozi wa Umma inayoongozwa na watu wenye hadhi katika nchi hii. Kila kiongozi wa Umma anatakiwa kwa mujibu wa sheria kutangaza Mali alizonazo. Mali za wizi zitajulikana tena asubuhi na mapema. Kuna TAKUKURU kazi yake kuangalia wenye Mali nyingi...
  13. E

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Tatizo letu kubwa kila tunalolijadiri ni siasa za vyama
  14. E

    Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Kwa bahati Biblia imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili na nyingine kwa lugha zetu za asili. Maagizo yote ya Mwenyezi Mungu yanapatikana katika Biblia. Soma vizuri Biblia fuata maagizobyske. Ukatoloki, Ulutheli, Uanglikana, Ulokole hata ule uliopindukia hautampeleka MTU mbinguni. Matendo ndiyo...
Back
Top Bottom