Recent content by emmanuel mhecha

  1. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania NSSF na Mafao yakujitoa kuna nini???

    MPE POLE YAKE DOGO,,,wengine tulishakata tamaa kabisa na NSSF
  2. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Watanzania wasiopennda Nchi kumiliki ndege ni wale wanaopenda kuona nchi ikiwa tegemezi kila kitu ni kwa hisan ya , wanataka hata Rais akienda nje apande ndege za abiria
  3. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege ndio heshima ya nchi

    Wanaotaka kugeuka mawe utawajua tu.
  4. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania JNIA, DAR: Rais Magufuli katika uzinduzi wa mradi wa rada na mapokezi ya ndege mpya ya ATCL

    ile ilikuwa1 na ya ki local haikuwa hata kuona anga ya Zanzibar lakini mijitu ilipiga hela bilion 40, imagine huyu kanunua 4 kwa bilion 45 na uwezo mkubwa kucover maeneo yote,
  5. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania JNIA, DAR: Rais Magufuli katika uzinduzi wa mradi wa rada na mapokezi ya ndege mpya ya ATCL

    POYOYO wewe unazijua Air defence system wewe?
  6. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania JNIA, DAR: Rais Magufuli katika uzinduzi wa mradi wa rada na mapokezi ya ndege mpya ya ATCL

    Kwa sasa tunaweza kudefence Anga letu lote na nchi jirani,tunaweza kuthubu kusema mpumbavu arushe ndege za kivita atakiona na si hilo tu pia tutapata mapato kwenye ndege zinazopita anga letu kisirisiri. Good Enough Presidaa
  7. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asikitishwa na kifo cha Mwanafunzi wa NIT, aliyeuawa na Polisi

    Nasema bila kumung'unya maneno hilo jimbo apewe mzazi wa marehemu
  8. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania Tuweke maswali yetu hapa ili waandishi Wa habari wakayaulize kwenye press ya IGP

    So sad. Ni sawa kuua Sisimiz kwa Rungu Kwa nini kamanda msiwemnatumia risasi za plastic au hamuzijui.hiyo risasi ilitakiwa kuua muasi wa ADF
  9. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania JWTZ hii imekaaje? Imegundulika Waasi wa ADF huko DRC wanatumia sare za JWTZ

    Ni mbinu yao tu. Sababu wanajua wanatafutwa na Jwtz
  10. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere awatemea cheche TISS

    No na mama
  11. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere awatemea cheche TISS

    Macho tu.total fraustration mwalimu hakuwaandalia fulsq:eek:
  12. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania Standard Gauge ikikamilika,ipewe jina la MAGUFULI TRAIN

    Itapendeza sana.lakini wenzetu wanatumia umeme wa Nuclear na sio maji au disel
  13. emmanuel mhecha

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Double chance ndugu
Back
Top Bottom