Recent content by Emmanuel Luoga

  1. Emmanuel Luoga

    USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

    Mnyika Yupo Shule Huu Ni Upotoshaji Mtupu Tukutane Dodoma Kuwasimamia CCM watii Sheria
  2. Emmanuel Luoga

    Kilosa Yatosha

    Mpaka Sasa campein Zimepamba Moto Wagombea Ubunge Kwa Ujumla Wao Wapo Watano Kwa Majina Ni Kama Ifuatavyo (1) Salvatory Sege (2) Msabaha Wa Marekani (3) Bahati Richardson (4) Hassan Msoma (5) Abasi Saad Kibiki Wote Wanafanya Kazi Za Chama Kwa Msaada Wa Mtia Nia Wa Jimbo La Mikumi Profesor Jay...
  3. Emmanuel Luoga

    Harakati za ubunge jimbo la Kilombero zapamba moto, waliotangaza nia wapigana vikumbo

    Huyu Ndo Hovyo Kabisa Asie Kuwa na Staha Wala Tank La Kufikili Ubunge sio Kuropoka Hovyo
  4. Emmanuel Luoga

    Dr. Slaa waeleze watanzania sera zako utawafanyia nini; Gwajima hatoweza kukusaidia kuingia Ikulu

    Dk Slaa Hana Jipya Sawa Jipya Analo Muhongo Na Ngurumo
  5. Emmanuel Luoga

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Slaaaa
  6. Emmanuel Luoga

    Kilosa Yetu

    Tulisha Fanya Mkutano Pale Tukaomba Police Watu Saidie Kulinda Maandamano Yetu Mpaka Kwa Dc Kueleza Kero Zetu
  7. Emmanuel Luoga

    CCM Morogoro Kusini Rafu Tupu

    Kimbunga nicheki Kwa Cm Nu 0719 120101 Kwa Ajir Ya Taarifa Zaid Morogoro Kusin
  8. Emmanuel Luoga

    Mangula alishukia genge la Lowassa lililomwaga rushwa Zanzibar, Hatua kali kuchukuliwa

    CCM Chaguen Mtu Atae Kemea Rushwa Kutoka Moyon Jk Nyerere
  9. Emmanuel Luoga

    Karibuni Kwa Mkulo CHADEMA

    Mwenye Namba Ya Cm Ya Alphonce Mawazo Naomba Napenda Sana Hutuba Zake Huyu Jamaa nataka Nimnunue Aje Afanye Kaz Kwangu
  10. Emmanuel Luoga

    Karibuni Kwa Mkulo CHADEMA

    Jimbo La Kilosa Kati Ni jimbo Gumu Sana Kwa Historia Yake Miaka Yote CCM Wanashinda Wao Tu Ila Uchaguz Huu Umetufanya CDM Kupumua Kwa Aman Na Kutembea Kifua Mbele Kwa Sababu Tumeshinda Robo Tatu Ya Jimbo Yaaan Hata Sijui Nitoe Pongez Gan Kwa Wananch Lakin Pongezi Kwa CCM wenyewe Maana...
  11. Emmanuel Luoga

    CCM Morogoro Kusini Rafu Tupu

    Tayar Vita Imeanzishwa Na Kigogo Wa Bandar Kutaka Kununua Jimbo La Morogoro Kusin Kwa Kuwanunua Wajumbe Ameanza Zoez hili Miez Sitta Iliyopita Anawapa Wajumbe kati Ya Laki na Elfu 50 Kwa Ujumla Kigogo wa Bandar sio Mtu Wa Kule Ila Anatumia Pesa Kununua Wajumbe Ili Apite Kwenye Kura Za Maon...
  12. Emmanuel Luoga

    Msaada

    Nataka Kuchukua Certificate Ya Sheria Nipen Vigezo Ndugu Nifanyaje Au Niambatanishe Nini?
  13. Emmanuel Luoga

    Kwa hili, Wabunge wa CHADEMA ni aibu

    Asanten Wana Jf Nimefanikiwa Kuwapata
  14. Emmanuel Luoga

    Kwa hili, Wabunge wa CHADEMA ni aibu

    Nina Karibia mwezi moja Sasa Nawatafuta Wabunge Wa Chadema Kwa Mazungumzo Nyeti Ya Kitaifa Na Yenye kuleta Matunda Kwa Nchi Yetu Lakin Wamekuwa Adimu Sana Ofisi Za Chama Chao Ni Ngumu Kuwapata. Kila Mtu Anakwambia Andika Barua, Ukiandika Unaambiwa Subiri Wiki Ya 4. Yaan Mpaka Wanaboa NAOMBA...
Back
Top Bottom