Emmanuel Luoga
Senior Member
- Oct 26, 2012
- 111
- 29
Nina Karibia mwezi moja Sasa Nawatafuta Wabunge Wa Chadema Kwa Mazungumzo Nyeti Ya Kitaifa Na Yenye kuleta Matunda Kwa Nchi Yetu Lakin Wamekuwa Adimu Sana Ofisi Za Chama Chao Ni Ngumu Kuwapata.
Kila Mtu Anakwambia Andika Barua, Ukiandika Unaambiwa Subiri Wiki Ya 4. Yaan Mpaka Wanaboa
NAOMBA msaada Jf Mwenye Uwezo Wa Kuniconect Na Mmoja Kati Ya Tundu Lisu, Halima Mdee, Au John Mnyika Aniambie Popote Nitamfuata Mimi 0719120101 ,,,