Mm naomba niulize sana jf,mtoto mchanga Wa kuanzia siku moja mpka mwezi mmoja hairuhusiwi kumwogeshea hizi sabuni za watoto mfano detol baby soap na kumpakaa powder? Naomba kuelimishwa juu ya hili sana if.
Habari, kuna jamaa yng wa karibu sana, anasumbuliwa na tatizo la kuvimba korodani moja la kushoto, kwamaelezo yke anasema korodani hilo limevimba hadi kufikia ukubwa wa yai la kuku, wakati lile korodani la kulia limezidi kusinyaa na kuwa dogo km ukubwa wa panadol, na anakoishi ni kijijini sana...
Mtt wng anaumri wa miaka 3 na nusu, lkn alipofikisha miaka 2 alianza kusumbuliwa na tatizo la kupumua kwa shida, na kukoroma km mtu mzima ucku anapolala, na mby zaidi anatokwa na kamasi zisizokata.hili tstizo kiukwel linanitatiza sana, naomba msaada wa mawazo na km kuna mwanajf anaijua dawa...
Kutumbuliwa ni jambo la kawaida kbs, so kikubwa ni kujipanga kwani kuna maisha ya kesho nje ya nafac aliyokuwa nayo.Kikubwa ni ashukuru kwa kila jambo, pili atulie coz mh, rais anaweza mpangia kazi nyingine tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.