Mtoto wangu alipofikisha miaka 2 alianza kusumbuliwa na tatizo la kupumua kwa shida

Jul 30, 2018
20
12
Mtt wng anaumri wa miaka 3 na nusu, lkn alipofikisha miaka 2 alianza kusumbuliwa na tatizo la kupumua kwa shida, na kukoroma km mtu mzima ucku anapolala, na mby zaidi anatokwa na kamasi zisizokata.hili tstizo kiukwel linanitatiza sana, naomba msaada wa mawazo na km kuna mwanajf anaijua dawa, naomba anisaidie ili mtt wng apone.kumbuke mtt wng ni wako pia.
 
Kuna miti shamba inatibu hilo tatizo, wananzengo husema kwamba ni pumu changa

Ni tatizo ambalo liliwahi kumpata mtoto wangu na hiyo mizizi ilimtibu kabisa
 
Akfanyiwe uchunguzi itakuwa aliingiza kitu puani kwani watoto huwa wana majaribu sana kama kuingiza gololi ndogo au mbegu zozote wanazookota hivyo kusababisha hayo madhara
Msaidie huyo kiumbe kwani hajui kitu mpeleke akaangaliwe na wakikosa nenda hospitali nyingine
 
Mtt wng anaumri wa miaka 3 na nusu, lkn alipofikisha miaka 2 alianza kusumbuliwa na tatizo la kupumua kwa shida, na kukoroma km mtu mzima ucku anapolala, na mby zaidi anatokwa na kamasi zisizokata.hili tstizo kiukwel linanitatiza sana, naomba msaada wa mawazo na km kuna mwanajf anaijua dawa, naomba anisaidie ili mtt wng apone.kumbuke mtt wng ni wako pia.
Mpeleke kwa daktari bingwa wa magonjwa ya masikio, pua na koo (ENT specialist) akafanyiwe uchunguzi, inawezekana ana ugonjwa unaitwa adenoid hypertrophy
 
Mpeleke hospital kubwa atakua na nyama zimeota mie wangu kafanyiwa na amepona kabisa hosp nilikuta watt wengi sana wenye tatizo ilo wangu nilimpeleka kcmc
 
Back
Top Bottom