Recent content by Emmanuel J. Buyamba

 1. Emmanuel J. Buyamba

  Mapokezi ya Rais Samia: Kwanini watendaji hawajaweka zulia jekundu, kiprotokali hili limekaaje?

  Si kila mapokezi ya Rais lazima awekewe zulia jekundu.Hata marehemu Magufuli ni safari nyingi tu ambazo hakutandaziwa zulia ikiwemo ile ya Chato anakwenda kunywa kahawa.
 2. Emmanuel J. Buyamba

  CCM yamteua Dkt. Florence George Samizi kugombea ubunge jimbo la Muhambwe

  Sawa,pamoja na majibu mazuri ya mhe.Waziri,nina swali dogo la nyongeza, Hivi kwa nini wilaya hii iliitwa KIBONDO lakini jina la Jimbo lake likawa tofauti kwa kuitwa Jimbo la uchaguzi la MUHAMBWE? Kibondo asili yake ni nini na Muhambwe asili yake ni nini? Kwa nini jina moja tu lisiwakilishe...
 3. Emmanuel J. Buyamba

  TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

  Kumbe na wewe uliona. Mama Samia alisita kidogo kutamka kama Waziri Mkuu.
 4. Emmanuel J. Buyamba

  Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

  Nilichokuuliza hujajibu na ulichojibu sijakuuliza,unalijua hilo?
 5. Emmanuel J. Buyamba

  Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

  Huwa tunafanya majaribio endapo kinachokuja kutokea hatukijui ama hatuna uhakika nacho, Mungu anapokupa majaribu huwa hajui matokeo ya karibu hilo? Na kama anajua majibu yatakavyokuwa, hilo jaribu huwa ni la nini? Nikisema kuwa hizi habari za Mungu muweza yote,mjuzi wa yote na mwenye upendo...
 6. Emmanuel J. Buyamba

  Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

  Mungu mmoja na mtume wake? Ni mtume yupi huyo ikiwa Muhammad alikuwa bado hajazaliwa? Na je, Mungu mwenye uweza wote hakuwa na njia rahisi na ya haraka ya kujitangaza (ikiwemo kutamka tu maneno) tukamjua badala ya hii Caravan route ambayo mpaka sasa haijawafikia watu wote duniani pamoja na...
 7. Emmanuel J. Buyamba

  Wananchi wa Canada wapendekeza nchi yao iwakilishwe na Rais atakayechaguliwa badala ya Malkia wa Uingereza

  Kwamba Malkia Elizabeth akifa mrithi awe Prince William? Wamejuaje kama Malkia Elizabeth atatangulia kabla ya huyo Prince? Halafu Canada wameshakua huu upuuzi wa kuendelea kutawaliwa na Mwingereza waachane nao.
 8. Emmanuel J. Buyamba

  ZITTO: Tumeshampendekeza Mrithi wa Maalim

  Basi hukupaswa uweke jibu usilo na uhakika nalo. Kwenye hizi nafasi za kisiasa hakuna ambayo ukiwa nayo inakuzuia kupanda ya juu yake. Sana sana ukipanda juu itakufanya uiachie ile ya chini tu kama zina mgongano.
 9. Emmanuel J. Buyamba

  Trump azumgumza kwa mara ya kwanza tangu Biden kuwa Rais. Asema hana mpango wa kuanzisha chama kipya cha siasa

  Huyu jamaa ni kama ana dawa hivi za mvuto.Pamoja na mambo yake ya yanayoonekana ya maajabu ajabu lakini watu wengi bado anaushawishi nao.
 10. Emmanuel J. Buyamba

  ZITTO: Tumeshampendekeza Mrithi wa Maalim

  Kwani akiwa mwakilishi ndiyo hawezi kuteuliwa na kisha akaachana na uwakilishi?
 11. Emmanuel J. Buyamba

  Mfahamu ‘plover bird’, mswaki wa mamba

  Kumbe mbumbumbu bado mko wengi.
Top Bottom